Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Hana heshima, ana kiburi, mropokaji , mfitinishaji hizo ndoto ataendelea kuziota usingizini tu.Ana ndoto kubwa huyu jamaa !
Na akizichanga karata zake vizuri atatimiza ndoto zake. !
Mtaji wa mwanasiasa ni kuwa na sapoti ya watu wengi !
Mtaji huo jamaa anao!
Anajua kusoma alama za nyakati. !
Ngoja Tusubiri tuone !
Now you are talking.You shall reap just like you Sow''... with all comrades around,how comes you pick up stupid Bashite to be your Regional Commissioner?
Wewe ni MMOJA wa watu waliofurahia Magu kutukanwa na Mange na kigogo.Wewe si ume confirm kuwa kundi lipo!!, ndiyo ulitaje sasa
Vibaya kuutaka uraisi?Mbona hata Chalamila alisema kuna Mawaziri wanautaka Urais!
Inategemea kama anachukiwa na wengi au anapendwa na Wananchi wengi !Hana heshima, ana kiburi, mropokaji , mfitinishaji hizo ndoto ataendelea kuziota usingizini tu.
Kilasiku mnamuaminisha huo ujinga halafu anaishia kuyakanyaga.Ana ndoto kubwa huyu jamaa !
Na akizichanga karata zake vizuri atatimiza ndoto zake. !
Mtaji wa mwanasiasa ni kuwa na sapoti ya watu wengi !
Mtaji huo jamaa anao!
Anajua kusoma alama za nyakati. !
Ngoja Tusubiri tuone !
Ngoja Tusubiri tuone. 🙏😅Kilasiku mnamuaminisha huo ujinga halafu anaishia kuyakanyaga.
Litaje basi kama wewe unajuwa kulko TISS
TISS hawajui kila kitu jamaniiii... especially hawa wa dunia ya tatu hawa wako busy kutafuna black budget ya Ikulu ambayo CAG Kichere haruhusiwi kuigusa....Hivi watu wa usalama wanawajibika kweli kumweleza ukweli kuhusu hii teuzi
Kazi ipoAsi msahau kubwa la manusu a.k.a Half american 😀
yap hupo sahihi.kutukana sio solution.Sultan MackJoe Khalifa Kumtukana rais ni ujinga tu.. hata ukimtukana hakuna kitu kitakacho badilika..
Rais yoyote atakae ongoza nchi bado nitamuunga mkono maana ni kiongoz wangu tayari.. Matus yangu hayewez kumuondoa madarakani
Kazingua idara nzima ya vipenyo kwamba hawajui kitu.Yaani huyu Makonda anaweza kuwa na TAARIFA za ndani kuliko TISS wenye kazi yao?
Asee Ile misambwa ndiyo ingekuwa akili angekuwa mbali sanaHuyu ni mjinga
Uteuzi wa mamneno katika lugha ya kiswahili huyu hajui
Mada inahusu nn? Sokoine
2. Hadhira ni nani? Wasikilizaji ni nani?
3. Mazingira/ muktadha ni upi?
Yeye anaongea tu kama MWEHU
IV unaongea kwenye kumbukumbu ya sokoine bila hata kumtaja huyo SOKOINE MWENYEWE . WEWE UNAKIMBILIA KUPIGA WATU MIKWARA? UTAIWEZA WAPI BASHITE WEWE
Hembu kuwa bhana. Zingatia zile 4 R
Ebow
Makonda mwenyewe ukute TISS si kwa kujiamini hivo!TISS hawajui kila kitu jamaniiii... especially hawa wa dunia ya tatu hawa wako busy kutafuna black budget ya Ikulu ambayo CAG Kichere haruhusiwi kuigusa....
Hata TISS ya Putin hawajui kila kitu, sasa hivi wanahaha kutafuta nani kawapiga kwenye ukumbi wa starehe mjini Moscow juzi ... na wale wana technology wakitaka kukupoteza wanakupaka ka poda mkononi paaap... unaenda kufia mbele, sisi TISS wetu mpaka wakukwide kwenye Noah Nyeusi, wakumiminie mirisasi 50 mchana kweupe na bado wanakukosa at point blank range... msiwape credit saaana kwa ukachero eti wana nasa kila taarifa jamani....
Samia kasema computer zetu za TPA na TRA hazisomani, wako wapi hao wataalam wa ku hack into encryption za whatsapp, telegram na telegraph kama hawawezi hata kuunganisha server za mashirika jamani jamani jamaniiiiii ???
Ndo maana Makonda kamchana Mama, huna taarifa mawaziri right under your nose wanakuhujumu, nina ma hard evidence na ma state secrets nyumbani kwangu, nikiamua nitakupa, na wenyewe mawaziri wanajua nawajua, vetting ya cabinet yako is putrid and pitiful, washakujulia, mtu akikusifia sifia kidogo kichawa na kinafiki unampaisha....
Yale yaleeeee ya CDF Mabeyo, Makonda nae anamwambia, Bi Mkubwa when you get a chance call me, I will bring you up to speed on some sensitive material, because you have no skin in the game.... All these new jacks you are stacking at TISS they are all busy plundering and pillaging the black budget, they don't know nothing. No wonder tumeanza kuchapwa na Kagame huko, majeneza ya JWTZ yanarudishwa nyumbani kimya kimya, big elephant in the room.
Watu waachwe wachukue fomu za CCM wakiomba, January Makamba ndio kaibua huo mjadala mitandaoni jana, sio mimi.
Badi Tiss itakua ni idara ya hovyo kua na mfanyazi kama makondaMakonda mwenyewe ukute TISS si kwa kujiamini hivo!
Makonda yaonekana ana kazi ambayo job description yake ni tofauti na tuliyotarajia. Si jambo jipya ni kwamba tu kashindwa hata kuzuia tusijue hilo. Kazi sana.Kwa madudu aliyofanya huyu bwana wakati wa JPM hakuwa mtu wa kufikiriwa katika uongozi
Hata ndani ya CCM hakubaliki, viongozi wenzake hakubaliki tena wakiwemo waandamizi lakini bado!!!
Ukiacha Fitna, hajawahi kufanya jambo lolote likafanikiwa, sasa kwanini mtu anayenyooshewa vidole bado apewe dhamana kubwa!!
Mleta mada kazungumza vizuri sana kwamba Arusha ni makao makuu ya EAC, ni Mji wa Utalii mkubwa Tanzania, ni kituo cha madini makubwa na kitovu cha uchumi wa utalii na Mazao. Tulitegemea Mkuu wa Mkoa huo awe na uwezo wa kukabiliana na changamoto zitokanazo, sasa tunasikia akilumbana na watu wa mitandaoni
Alitakiwa ajielekeze katika mambo yanayoleta Dollar, kutangaza Utalii na madini na kutumia fursa ya uenyeji wa EAC kuleta tija na si kulumbana na wana mitandaoni. Yaani ni low IQ lakini bado anapewa dhamana. sidhani kama yeye ni tatizo! no!
TISS hii ya sasa watu wa kawaida sana na hawana siri! Mtu yuko bar anatamba kuwe yeye ni mtu wa kitengo!Badi Tiss itakua ni idara ya hovyo kua na mfanyazi kama makonda
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app