Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

Ana ndoto kubwa huyu jamaa !
Na akizichanga karata zake vizuri atatimiza ndoto zake. !
Mtaji wa mwanasiasa ni kuwa na sapoti ya watu wengi !
Mtaji huo jamaa anao!
Anajua kusoma alama za nyakati. !

Ngoja Tusubiri tuone !
Hana heshima, ana kiburi, mropokaji , mfitinishaji hizo ndoto ataendelea kuziota usingizini tu.
 
Hana heshima, ana kiburi, mropokaji , mfitinishaji hizo ndoto ataendelea kuziota usingizini tu.
Inategemea kama anachukiwa na wengi au anapendwa na Wananchi wengi !
Hilo ndio suala muhimu. !
Huwezi kutegemea kwa mfano uwe ukiwafuatilia wahalifu kisha eti utegemee wale wahalifu wakupende na kukusema vizuri !
 
Litaje basi kama wewe unajuwa kulko TISS

Hivi watu wa usalama wanawajibika kweli kumweleza ukweli kuhusu hii teuzi
TISS hawajui kila kitu jamaniiii... especially hawa wa dunia ya tatu hawa wako busy kutafuna black budget ya Ikulu ambayo CAG Kichere haruhusiwi kuigusa....

Hata TISS ya Putin hawajui kila kitu, sasa hivi wanahaha kutafuta nani kawapiga kwenye ukumbi wa starehe mjini Moscow juzi ... na wale wana technology wakitaka kukupoteza wanakupaka ka poda mkononi paaap... unaenda kufia mbele, sisi TISS wetu mpaka wakukwide kwenye Noah Nyeusi, wakumiminie mirisasi 50 mchana kweupe na bado wanakukosa at point blank range... msiwape credit saaana kwa ukachero eti wana nasa kila taarifa jamani....

Samia kasema computer zetu za TPA na TRA hazisomani, wako wapi hao wataalam wa ku hack into encryption za whatsapp, telegram na telegraph kama hawawezi hata kuunganisha server za mashirika jamani jamani jamaniiiiii ???

Ndo maana Makonda kamchana Mama, huna taarifa mawaziri right under your nose wanakuhujumu, nina ma hard evidence na ma state secrets nyumbani kwangu, nikiamua nitakupa, na wenyewe mawaziri wanajua nawajua, vetting ya cabinet yako is putrid and pitiful, washakujulia, mtu akikusifia sifia kidogo kichawa na kinafiki unampaisha....

Yale yaleeeee ya CDF Mabeyo, Makonda nae anamwambia, Bi Mkubwa when you get a chance call me, I will bring you up to speed on some sensitive material, because you have no skin in the game.... All these new jacks you are stacking at TISS they are all busy plundering and pillaging the black budget, they don't know nothing. No wonder tumeanza kuchapwa na Kagame, majeneza ya JWTZ yanarudishwa nyumbani kimya kimya, big elephant in the room.

Watu waachwe wachukue fomu za CCM wakiomba, January Makamba ndio kaibua huo mjadala mitandaoni jana, sio mimi.
 
Mh Rais SSH alitumia hekima na leadership kutocoment chochote kuhusu hiyo kauli ya Makonda. Comment yoyote ingekuwa na impact si tu kwa Makonda Bali hata kwa wasaidizi wake/mawaziri. Mpaka Sasa hivi kutokana na Rais kutocoment chochote kuhusu kauli ya Makonda, hakuna mtu anayeweza kuibeza/ignore kauli yake. Anayeweza kujua ukweli wa kauli na hata baadae kuthibitisha ukweli au uongo wa kauli hiyo ya Makonda dhidi ya mawaziri kumhujum mh Rais ni Rais mwenyewe na mifumo yake ya kiusalama. Kwa hiyo let us not misjudge kauli ya Makonda mpaka hapo ama itakapotolewa ufafanuzi na Rais mwenyewe au mamlaka zake za usaidizi. Kauli ya Makonda majibu yake au ufafanuzi wake lazima uwe na impact ndani ya serikali na chama, hivyo ni lazima ichukuliwe kwa makini sana. Ni imani yangu vyombo vya usalama vitafanya kazi yake ili kauli hiyo isijeleta mpasuko. Let's remain humble kwa sbb hatujui nyuma ya kauli hiyo ya Makonda serikali ipo upande gani au itakuja na hoja gani kurespond.
 
Huyu ni mjinga

Uteuzi wa mamneno katika lugha ya kiswahili huyu hajui
Mada inahusu nn? Sokoine
2. Hadhira ni nani? Wasikilizaji ni nani?
3. Mazingira/ muktadha ni upi?
Yeye anaongea tu kama MWEHU
IV unaongea kwenye kumbukumbu ya sokoine bila hata kumtaja huyo SOKOINE MWENYEWE . WEWE UNAKIMBILIA KUPIGA WATU MIKWARA? UTAIWEZA WAPI BASHITE WEWE
Hembu kuwa bhana. Zingatia zile 4 R
Ebow
Asee Ile misambwa ndiyo ingekuwa akili angekuwa mbali sana
 
"Mama yangu....wananipima kama ni mama yangu kweli"

Makonda anajua kutoka na style ya kumteka mtawala magufuli kwake alikuwa ni baba kwa samia ni mama
 
TISS hawajui kila kitu jamaniiii... especially hawa wa dunia ya tatu hawa wako busy kutafuna black budget ya Ikulu ambayo CAG Kichere haruhusiwi kuigusa....

Hata TISS ya Putin hawajui kila kitu, sasa hivi wanahaha kutafuta nani kawapiga kwenye ukumbi wa starehe mjini Moscow juzi ... na wale wana technology wakitaka kukupoteza wanakupaka ka poda mkononi paaap... unaenda kufia mbele, sisi TISS wetu mpaka wakukwide kwenye Noah Nyeusi, wakumiminie mirisasi 50 mchana kweupe na bado wanakukosa at point blank range... msiwape credit saaana kwa ukachero eti wana nasa kila taarifa jamani....

Samia kasema computer zetu za TPA na TRA hazisomani, wako wapi hao wataalam wa ku hack into encryption za whatsapp, telegram na telegraph kama hawawezi hata kuunganisha server za mashirika jamani jamani jamaniiiiii ???

Ndo maana Makonda kamchana Mama, huna taarifa mawaziri right under your nose wanakuhujumu, nina ma hard evidence na ma state secrets nyumbani kwangu, nikiamua nitakupa, na wenyewe mawaziri wanajua nawajua, vetting ya cabinet yako is putrid and pitiful, washakujulia, mtu akikusifia sifia kidogo kichawa na kinafiki unampaisha....

Yale yaleeeee ya CDF Mabeyo, Makonda nae anamwambia, Bi Mkubwa when you get a chance call me, I will bring you up to speed on some sensitive material, because you have no skin in the game.... All these new jacks you are stacking at TISS they are all busy plundering and pillaging the black budget, they don't know nothing. No wonder tumeanza kuchapwa na Kagame huko, majeneza ya JWTZ yanarudishwa nyumbani kimya kimya, big elephant in the room.

Watu waachwe wachukue fomu za CCM wakiomba, January Makamba ndio kaibua huo mjadala mitandaoni jana, sio mimi.
Makonda mwenyewe ukute TISS si kwa kujiamini hivo!
 
Kwa madudu aliyofanya huyu bwana wakati wa JPM hakuwa mtu wa kufikiriwa katika uongozi
Hata ndani ya CCM hakubaliki, viongozi wenzake hakubaliki tena wakiwemo waandamizi lakini bado!!!

Ukiacha Fitna, hajawahi kufanya jambo lolote likafanikiwa, sasa kwanini mtu anayenyooshewa vidole bado apewe dhamana kubwa!!

Mleta mada kazungumza vizuri sana kwamba Arusha ni makao makuu ya EAC, ni Mji wa Utalii mkubwa Tanzania, ni kituo cha madini makubwa na kitovu cha uchumi wa utalii na Mazao. Tulitegemea Mkuu wa Mkoa huo awe na uwezo wa kukabiliana na changamoto zitokanazo, sasa tunasikia akilumbana na watu wa mitandaoni

Alitakiwa ajielekeze katika mambo yanayoleta Dollar, kutangaza Utalii na madini na kutumia fursa ya uenyeji wa EAC kuleta tija na si kulumbana na wana mitandaoni. Yaani ni low IQ lakini bado anapewa dhamana. sidhani kama yeye ni tatizo! no!
Makonda yaonekana ana kazi ambayo job description yake ni tofauti na tuliyotarajia. Si jambo jipya ni kwamba tu kashindwa hata kuzuia tusijue hilo. Kazi sana.
 
Badi Tiss itakua ni idara ya hovyo kua na mfanyazi kama makonda

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
TISS hii ya sasa watu wa kawaida sana na hawana siri! Mtu yuko bar anatamba kuwe yeye ni mtu wa kitengo!
Ila mimi naamini Makonda jana alikuwa anaongea maneno ya Samia ila sema yeye Makonda hakuweza kuwasilisha ujumbe kwa maneno ya hekima ndo maana Mama alimtolea ishara ya kumzuia kuendelea kuongea huku akionesha kutoshitushwa na maneno ya Makonda!
 
Mambo yake yale yale tu, mwenzake musiba skuizi kaufyata kama hayupo tu vile
 
Back
Top Bottom