Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
wa kwanza huyu hapa 👉 Waziri wa Kaskazini 🤣😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na uzuri alishajitabiria kuwa hatachukua round atamwagwa .Yeye anasema hayo kama nani sasa? Mwambieni atulize mshono hapo Arusha.
Makonda anajisahau, anadhani yeye bado ni Katibu wa Itikadi na Uenezi (propaganda).Akitoa salaam za mkoa kwenye kongamano la kumbukizi ya Edward Moringe Sokoine leo hii 11 April 2024, amesema kuna watu, wakiwemo mawaziri wanawatuma watu kumtukana rais Samia mitandaoni.
Makonda kasema anawajua na wao wanamjua. Amewataka waache kufanya hivyo leo hii. Ameonya wasipoacha atawataja majina yao siku ya jumatatu tarehe 14 April 2024.
Unaweza kubashiri ni mawaziri gani wanafanya hujuma hizi dhidi ya bosi wao? Au Makonda anatafuta kiki?
Maana hata jiwe alimdanganya kama hivi, ndiyo maana jiwe akawa karibu sana na Makonda. Jiwe alipokuja kugundua kuwa aliingizwa chaka akamtema.
Source:. Kumbukizi ya Edward Moringe Sokoine
Hakuna waziri anafanya hicho kitu bali Makonda anatafuta namna ya kuwapaka shombo mawaziri ambao hana mahusiano nao mazuri kama; Nape Nnauye, Januari Makamba, Hussein Bashe, Riz 1 Kikwette.Akitoa salaam za mkoa kwenye kongamano la kumbukizi ya Edward Moringe Sokoine leo hii 11 April 2024, amesema kuna watu, wakiwemo mawaziri wanawatuma watu kumtukana rais Samia mitandaoni.
Makonda kasema anawajua na wao wanamjua. Amewataka waache kufanya hivyo leo hii. Ameonya wasipoacha atawataja majina yao siku ya jumatatu tarehe 14 April 2024.
Source:. Kumbukizi ya Edward Moringe Sokoine
Tapeli huyo, Hana uwezo huo maana wakati kigogo anamtukana Magufuli walijifanya pia wanamjua, na haikuwa kweli.Akitoa salaam za mkoa kwenye kongamano la kumbukizi ya Edward Moringe Sokoine leo hii 11 April 2024, amesema kuna watu, wakiwemo mawaziri wanawatuma watu kumtukana rais Samia mitandaoni.
Makonda kasema anawajua na wao wanamjua. Amewataka waache kufanya hivyo leo hii. Ameonya wasipoacha atawataja majina yao siku ya jumatatu tarehe 14 April 2024.
Unaweza kubashiri ni mawaziri gani wanafanya hujuma hizi dhidi ya bosi wao? Au Makonda anatafuta kiki?
Maana hata jiwe alimdanganya kama hivi, ndiyo maana jiwe akawa karibu sana na Makonda. Jiwe alipokuja kugundua kuwa aliingizwa chaka akamtema.
Source:. Kumbukizi ya Edward Moringe Sokoine
View attachment 2961568
Hana lolote mpiga kelele tu Huyo. Leo Ijumaa na spana shidi ya bebi wake zitaendelea mtindo mmoja.Akitoa salaam za mkoa kwenye kongamano la kumbukizi ya Edward Moringe Sokoine leo hii 11 April 2024, amesema kuna watu, wakiwemo mawaziri wanawatuma watu kumtukana rais Samia mitandaoni.
Makonda kasema anawajua na wao wanamjua. Amewataka waache kufanya hivyo leo hii. Ameonya wasipoacha atawataja majina yao siku ya jumatatu tarehe 14 April 2024.
Unaweza kubashiri ni mawaziri gani wanafanya hujuma hizi dhidi ya bosi wao? Au Makonda anatafuta kiki?
Maana hata jiwe alimdanganya kama hivi, ndiyo maana jiwe akawa karibu sana na Makonda. Jiwe alipokuja kugundua kuwa aliingizwa chaka akamtema.
Source:. Kumbukizi ya Edward Moringe Sokoine
View attachment 2961568
Jamaa lijinga sana... aisee huyu bogus BASHITE anapenda kujimilikisha wema.
Yaani anatishaaaa!! Anajua kupanga drama hatari.Drama King
anatafta mbeleko hanaloloteAkitoa salaam za mkoa kwenye kongamano la kumbukizi ya Edward Moringe Sokoine leo hii 11 April 2024, amesema kuna watu, wakiwemo mawaziri wanawatuma watu kumtukana Rais Samia mitandaoni.
Makonda kasema anawajua na wao wanamjua. Amewataka waache kufanya hivyo leo hii. Ameonya wasipoacha atawataja majina yao siku ya Jumatatu tarehe 14 April 2024.