Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

Uteuzi wa mamneno katika lugha ya kiswahili huyu hajui
Mada inahusu nn? Sokoine
2. Hadhira ni nani? Wasikilizaji ni nani?
3. Mazingira/ muktadha ni upi?
Yeye anaongea tu kama MWEHU
IV unaongea kwenye kumbukumbu ya sokoine bila hata kumtaja huyo SOKOINE MWENYEWE . WEWE UNAKIMBILIA KUPIGA WATU MIKWARA? UTAIWEZA WAPI BASHITE WEWE
Hembu kuwa bhana. Zingatia zile 4 R
Ebow
 
nimemsikia aisee ni hatari sana,sina la kusema
 
Ukiwa muongo usiwe msahaulifu.
Sababu uliyoitaja Magufuli kumtema Makonda kwenye u Rc ni ya uongo.

Sababu iliyomtemesha Makonda uRc ni msimamo wa Magufuli wa viongozi kuacha kutumikia vyeo viwili, mara uRc mara ubunge na akawaambia wenye nafasi zao watulizane kwenye nafasi hizo na aliyeondoka kwenda kugombea ubunge alifutwa kwenye nafasi yake.

Hilo halijamtokea makonda peke yake ni viongozi wengi waliopoteza nafasi zao kwa ajili hiyo.

Sasa unapokuja na upotoshaji wako hapa, unaharibu uzi wako wote huu na kuonakana ni muongo na unaandika habari hii kwa chuki.
 
Mfitini ni mfitini tu hata kama hakuna fitina atatafuta fitina kufitanisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…