Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

Hivi Rais Samia alikosa kabisa mtu mwenye nidhamu ili asimame kama Mkuu wa mkoa Arusha? anaropokwa TU alimradi ameropoka.
Tatizo hujatuliza kichwa! Kweli ameropoka ila kuna kitu ndani yake! Tuendelee kuvywa mtori nyama ziko chini!
Maana hata chizi anaweza kutoa taarifa sahihi katika mazingira ya kuropoka! Wahenga walisema hata saa mbovu kuna muda inasoma majira sahhihi!
 
Baada ya kauli ya Leo ya Mkuu wa Mkoa ARUSHA Wananchi wengi kisiwani wanasema kuwa Ile mbinu Makonda anaitumia ili kumteka Mh Rais ili iwe kama alivyokuwa wakat wa Hayati Magufuli. Hii mbinu imekaa kijanja sana sana. Mama Samia awe makini.
 
Jamaa ni fundi wa drama Tanzania
Tatizo hujatuliza kichwa! Kweli ameropoka ila kuna kitu ndani yake! Tuendelee kuvywa mtori nyama ziko chini!

Maana hata chizi anaweza kutoa taarifa sahihi katika mazingira ya kuropoka! Wahenga walisema hata saa mbovu kuna muda inasoma majira sahihi!

Debe likivuma mwenye akili lazima asituke maana ili debe livume lazima upepo uwepo tena wa kutosha!
 
Kwenye kumbukumbu ya Sokoine Sokoine mwenyewe kusahaulika!🤣
Hatari sana
Yaani nchi kama Tanzania inaongozwa na viongozi aina ya makonda? Alishindwa kujipa hata assignment ya kumfahamu huyo sokoine japo kidogo tu? Badala yake anaanza kuwapiga watu mikwara ati wanaomtukana mama atawataja sasa hii haitokuwa kama ile ya MADAWA YA KULEVYA KWELI ??
Inashangaza sana
 
Waswahili wa kule majuu wanasema, body language ndio kila kilu.
Kwa body language ya Makonda, kama hamjui, ndiye Naibu Rais!!!
Mie thithemi zaidi!
 
Baada ya kauli ya Leo ya Mkuu wa Mkoa ARUSHA Wananchi wengi kisiwani wanasema kuwa Ile mbinu Makonda anaitumia ili kumteka Mh Rais ili iwe kama alivyokuwa wakat wa Hayati Magufuli. Hii mbinu imekaa kijanja sana sana. Mama Samia awe makini.
Hamna mbinu apo, kujipendekeza wka kuchoma wengine ni ujinga. Na yeye si wakwanza kutumia. Viongoz kibao ccm wanafanya hivyo
 
Hivi Rais Samia alikosa kabisa mtu mwenye nidhamu ili asimame kama Mkuu wa mkoa Arusha? anaropokwa TU alimradi ameropoka.
Wewe unamini kabisa Makonda katoka kwenye Uenezi kwa mapenzi ya Mama? Makonda ana taarifa za watu kibao ndani ya serkali na kuna uwezekano mkubwa sana zikawa ni taarifa sahihi sana kwa Mama!

Sema Makonda hajui jinsi ya kuongea nini na wakati gani ila nikuhakikishie tu Makonda alitoka kwenye Uenezi si kwa mapenzi ya Mama!

Kuna watu hawamtaki Makonda kwenye system ila pia Makonda kwa baadhi ya watu ni wamhimu kwa mazingira ya sasa ya kisiasa!

Makonda bila upendo wa mama kumvuta hata Uenezi asinge wekwa ila wazee hawakuta uwe hapo maana dhamira yao apotee kabisa japo ukweli ni kuwa Makonda ni mchafu na Wao pia ni wachafu kwa ujumla ni pambano la mashetani!
 
Yule ni mtu mjinga mjinga sana. Haihitaji uwe na elimu japo ya form 4 kujua hili. Upo kwenye maombolezo unaingiza mambo ya kutukanana?

Hajui hata kuangalia hadhira yake?

Kinachozungumziwa? Topic/mada

Muktadha/ mazingira nk?

Mh safar ni ndeeefu sana?

Tufanye hao wanaolipa/ lipa pesa ili raisi atukanwe wameanza leo baada ya yye kuwa RC?

Je hakuna mamlaka nyingine zinazoweza kulijua hili? Tuseme nazo zimehongwa ili ziufyate?

HUYU ANATOFAUTI GANI NA MUSIBA? ALIYETUMIA MUDA MWINGI KUMTIA MAGUFULI HOFU ISIYOKUWEPO?
DAB JITEKEBISHE WATIA KINYAA
 
Ule wazimu wake haujapona. Wewe mwache azidi kukivuruga chama sisi tumekaa pale[emoji117][emoji117]
Yani huyu jamaa akili ndogo sanaaaa.Halafu ni mtu anayependa kusukumana na watu akidhani uongozi ni kusukumana na kuwa na magomvi na watu.

I am not a prophet but the guy will end miserably .
 
Haiba yako Rais Samia na ya Makonda haziendani. Wewe ni muungwana na mpenda haki na uhuru wa maoni. Huyu ananuka damu za watu aliowaua na anatamani na wewe umruhusu aanze kuteka na kuua.

Hata mimi naliona hili
 
Back
Top Bottom