FungukaKumekucha
c/o dada wa Tandika š¼
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FungukaKumekucha
c/o dada wa Tandika š¼
Ana ushahidi usio na shaka hadi mpaka kasemaSijawahi kumuelewe huyu jamaa. Kama kweli anazo hizo taarifa, kwanini anazisema hadharani wakati ni sensitive kiasi kikubwa sana?
nimecheka hapo kwenye kama ni mama yake kweliAidha Makonda amemwomba Rais Samia kutoa Fedha za ujenzi wa Kilomita 20 za Lami Jijini humo na kueleza kuwa Wananchi wamemtuma amuombe Mama yake na wanampima kama ni Mama yake kweli
Mlango wa kutokeaš¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£šŗšŗšŗš¶šŖšŖKumekucha japo ni mchana
Mlango wa kutokeaš¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£šŗšŗšŗš¶šŖšŖKumekucha japo ni mchana
Haa Walawi Wanajitafuta Mpaka SasaTatizo 2030 huko CCM ni zamu ya Mgalatia š
Yaliyomo Yamo, Ndani N'titi Nje N'titi Bwana WeeMambo ni motroooo![]()
Nadhani TISS wanapita humu, watafute namna ya kumshauri Rais vizuri kuhusu huyu mwendawazimuYaani aibu tupu. RC anawapa onyo Mawaziri tena kwa vitisho!! Ndiyo maana tunasema CCM na Serikali yake imeishiwa maarifa.
Hebu fikiria wakati Konda Boy anatoa upupu wake ule, Kuna Watendani Wakuu wa Chama na Serikali walimshangilia.
Huyu paka wa ferry anapenda Samaki sanaTarehe 14 ni jumapili