Paul Makonda Awabubujisha watu machozi ya furaha utafikiri wamepigwa na mabomu ya machozi

 

Attachments

  • IMG_5526.jpeg
    74.5 KB · Views: 5
Kweli kabisa hayuko sawa, Allah amkinge na hasadi na husdah mbaya za walimwengu, dunia imekuwa uwanja wa vita, baina yetu, pia endapo kama aliwahi wafanyia husdah mbaya wengine amlilie mola wake, pia akumbuke, hasadi hachoki anapodhamiria!
Paul Makonda maadui wengi alionao kawatafuta yeye mwenyewe, Tena amewatafuta kwa tochi.
 
Paul Makonda maadui wengi alionao kawatafuta yeye mwenyewe, Tena amewatafuta kwa tochi.
Maadui wa Mwamba ni wale mafisadi, wala rushwa,wazembe kazini na wanaoonea wanyonge. Hao ndio ambao Mwamba Mwenyewe Paul Makonda anapambana nao na kuwakabili kikomandoo.
 
Utakufa wewe na ujinga wako.
Nafuu mimi nitakuga na ujinga wangu, ila Makonda atakufa na madhambi yake ya kuua na wewe Mnyiha mshamba utakufa na uchawa wa kijinga.

Chawa wenzio wanalipwa hela ndefu na kupewa vyeo. Wewe waridhika na buku 7. HOVYO
 
Maadui wa Mwamba ni wale mafisadi, wala rushwa,wazembe kazini na wanaoonea wanyonge. Hao ndio ambao Mwamba Mwenyewe Paul Makonda anapambana nao na kuwakabili kikomandoo.
Wanyonge ndio watu gani? Wametokea wapi na wako wapi?

Nimefuatilia comments zako nyingi sana humu mtandaoni na nimegundua ya kwamba wewe Lucas Mashamba ni miongoni mwa chawa wanafiki ambao 'kichwani hamnazo,' kazi yako kubwa ni kujikomba kwa Watu waovu na wasiofaa ili upate mkate wako wa kila siku.

Napenda kukujulisha kwamba, endapo kama kweli kabisa unamtakia mema huyo Paul Makonda Basi uwe unamweleza ukweli ili aweze kujirekebisha na abadilike katikà tabia zake. Usimsifie kwa Unafiki kwani kufanya hivyo utakuwa unampoteza zaidi na kumuangamiza kabisa kwenye maisha yake kijamii na kisiasa. Paul Makonda anapaswa ajirekebishe tabia zake pamoja na hulka zake ili aweze kukubalika kwa dhati kabisa kwenye jamii, asiwe na kiburi kilichopitiliza na majivuno, ajishushe ili apunguze idadi ya maadui zake aliowatengeneza. Ajirekebishe na jamii ione kwa macho yao kwamba kweli huyu Paul Makonda wa Sasa SIYO yule tuliyekuwa tunamfahamu siku za nyuma. Kwamba Paul Makonda wa sasa hivi amebadilika na kuwa mtu mwema na mfano wa kuigwa katikà jamii.

Nyinyi chawa wewe Lucas Mshamba ukiwa kiongozi wao acheni Sasa kumsifia kinafiki Bw. Paul Makonda, Kama kweli kabisa mnamtakia mema Basi acheni kujikomba kwake na badala yake mwambieni ukweli ili aweze kujirekebisha. Cheo Cha Ukuu wa Mkoa alichonacho Bw. Paul Makonda ameteuliwa kwa kubebwa na kupendelewa, siyo kwamba anazo sifa nzuri au Qualifications za kutosha za kumfanya aweze kuteuliwa kwenye cheo hicho. Paul Makonda hana Qualifications za kuteuliwa ktk nafasi hiyo ya RC isipokuwa Rais ameamua tu kwamba acha ambebe hivyo hivyo ili siku ziende. Ila ukweli mchungu sana unabaki kuwa Paul Makonda Hana Qualifications za kuwa RC.

Paul Makonda anapaswa kukumbuka msemo unaosema kwamba "Ukishikwa Shikamana."
 
Lucas amevuka hata kwenye uchawa huyu ni kunguni kabisa, hana aibu kusifia ujinga. Makonda au kwa jina lake halisi Daudi Albert Bashite ni mtu mwovu ambaye ameshiriki matendo maovu ya utekaji,utesaji na hata kuua, yule pale alipo mikono yake imejaa damu. Maadui anaodai wanataka kumuua amewatengeneza mwenyewe na ajue hawatamuacha mpaka walipize visasi. Huyu altumika katika kazi chafu za yule dhalim aliyeko jehanam .
 
Acha ujinga wako hapa wewe
 
Uzi mzuri ulioshiba ila uliojaa chuki kwa "mafisadi " karibu Makonda, jisikie upo nyumbani.
Hakuna chuki yoyote ile tuliyonayo dhidi ya mtu huyo, isipokuwa tunataka kumweleza ukweli ili aweze kujirekebisha pale ambapo sisi tunaona kwamba Paul Makonda ameteleza.
Ukweli mchungu unaotibu daima huwa unauma na unachoma Sana rohoni.

Clear rejection is better than a fake promise.
 
Chawa kazini.
Umesahau kuweka namba ya simu.
Au tayari wanazo wenye mamlaka ya uteuzi?
Hao walitokwa na machozi ya furaha ni wewe na familia yako + wanufaika naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…