geesten66
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 2,042
- 2,370
Nipe mkuu Nina mengi ya kumwambiaNikupe email yake?! 🙈😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe mkuu Nina mengi ya kumwambiaNikupe email yake?! 🙈😂
Takataka mzee wa nyashhh au joyce wowowoNdugu zangu watanzania,
Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda,Kijana Jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara, Field Marshal,jabali la Siasa. Mwamba Mwamba Mwamba Mwenyewe Makonda Hatimaye kwa mara nyingine tena atikisa ,atetemesha,Awabubujisha watu Machozi utafikiri watu waliopigwa bomu la machozi katika chumba walichokuwa wamejificha.
Mwamba Mwenyewe Paul Makonda kwa hakika huyu Mtu Siyo wa Kawaida ,Ni Mtu na Nusu,Ni mtu anayependwa na watanzania kwelikweli. Anaongoza mkoa wa Arusha lakini wananchi na watanzania wanamfuatilia habari zake kila uchao. Nimeshuhudia watu wakiwa na furaha kubwa na kushangilia utafikiri wana ndoa waliopata mtoto baada ya kukaa miaka kumi bila kupata Mtoto.
Unaweza ukawa na chuki binafsi na Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Makonda lakini utakubali ukweli kuwa huyu Mwamba anakubalika na kupendwa sana sana na watanzania. Hiyo ni kutokana na uchapakazi kazi wake,ujasiri wake katika kufanya maamuzi, kupambana na mtu yeyote yule awaye na cheo chochote kile na utajiri wa aina yoyote ile katika kutetea wanyonge,kusaidia watu wenye uhitaji na usikivu wake mkubwa kwa wanyonge na watu wa aina zote.
Mwamba Mwenyewe Makonda Ni mtu ambaye anapenda sana kuona wanyonge na watanzania maskini wanapata haki zao bila kuonewa.ndio sababu watu humiminika na kufurika katika mikutano yake utafikiri mchanga wa baharini.
Kama kuna mtu anamchukia Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda,basi afahamu kuwa hataweza kuzuia upendo mkubwa walionao watanzania wa maeneo mbalimbali kwa Mwamba huyu anayeendelea kuteka mioyo ya mamilioni ya watanzania.
Jiulize kwanini anakubalika sana na watanzania? Kwanini anafuatiliwa sana habari zake? Kwanini anaushawishi mkubwa sana kwa watanzania?kwanini anatabiriwi makubwa sana kiuongozi?
Jibu ni kuwa ni lazima tukubali wote kama Taifa kuwa Mwamba Mwenyewe Makonda ni kiongozi mchapa kazi,jasiri na mbunifu sana katika uongozi.Ni kiongozi ambaye akipewa nafasi hata kwa siku moja tu au majukumu ya siku moja tu anayafanya katika namna ambayo alama zake huwezi kuzifuta hata kwa kukwangua na jembe la mkono.
Niambie ni wapi Ambako Mwamba hajaacha Alama za kiuongozi mpaka alipofika hapo? Ni wapi ambako Mwamba hakumbukwi kuwa mahali hapa na katika nafasi hii alipita Mwanaume wa kazi Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda?
Mwisho niseme wazi kuwa kama kuna mtu anamuombea Mabaya Mwamba Mwenyewe Paul Makonda,basi anajisumbua tu kwa sababu huyu Mwamba yupo na amefika hapo kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu tu. Vita ambayo Mungu amempigania ni kubwa sana na ambayo kama siyo ulinzi wa Mungu na uwepo wa Mungu katika Maisha yake basi angekuwa amebaki historia tu hapa Duniani.lakini yupo hivyo alivyo kwa sababu Mungu ana makusudi maalumu na huyu Mwamba juu ya Ardhi ya Tanzania.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
PIA SOMA
- Makonda arejea, akagua uwanja wa ndege Kisongo
Hapana, simpi mtu simu yangu.Mambo naomba namba yako ya simu ya mezani
Peleka huko ujinga wako wewe.Takataka mzee wa nyashhh au joyce wowowo

Naona mjumbe alikuwa anaomba namba ya simu na siyo Simu yako😃😃Hapana, simpi mtu simu yangu.
Sitaki.Naona mjumbe alikuwa anaomba namba ya simu na siyo Simu yako😃😃
Naogopa kupotea 🙈😂😂Nipe mkuu Nina mengi ya kumwambia
Ndio maana naandika kwa kuweka aya ili kila mmoja asome mpaka pale uwezo wake unapoishia .maana siyo kila mmoja ana akili na uwezo wa kusoma na kuelewa.ndio maana wengine wakipewa hata mkataba wanajikuta wanasaini tu bila kuusoma na kuelewa kilichoandikwa ndani.Lucas nimeona ulipata A kwenye uandishi wa insha!!
Kuandika stori ndefu kwa idea moja tu si mchezo, ni kipaji. Mi nimesoma first paragraph tu nikachoka kabisa!!
Big up mkuu!
Mange ni nan mpk kila anachoandika ndio iwe kweli ?Umesoma alichoandika Mange Kimambi kuwa kutoonekana kwake ni staged au unasifu na kuabudu tu? Amekuwa preempted maana imekuwa kama Dada wa Taifa alisema jana
Mtu mwenye akili Timamu huwezi ukaanza kumuamini Mange Kimambi mpaka unaanza kufanya kama ndio chanzo halisi na rejea yako.Mange ni nan mpk kila anachoandika ndio iwe kweli ?
Kwanza huyo demu Ana bifu na konda kitambo sishangai chochote atachosema
Ngumbaru mbumbumbuNdugu zangu watanzania,
Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda,Kijana Jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara, Field Marshal,jabali la Siasa. Mwamba Mwamba Mwamba Mwenyewe Makonda Hatimaye kwa mara nyingine tena atikisa ,atetemesha,Awabubujisha watu Machozi utafikiri watu waliopigwa bomu la machozi katika chumba walichokuwa wamejificha.
Mwamba Mwenyewe Paul Makonda kwa hakika huyu Mtu Siyo wa Kawaida ,Ni Mtu na Nusu,Ni mtu anayependwa na watanzania kwelikweli. Anaongoza mkoa wa Arusha lakini wananchi na watanzania wanamfuatilia habari zake kila uchao. Nimeshuhudia watu wakiwa na furaha kubwa na kushangilia utafikiri wana ndoa waliopata mtoto baada ya kukaa miaka kumi bila kupata Mtoto.
Unaweza ukawa na chuki binafsi na Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Makonda lakini utakubali ukweli kuwa huyu Mwamba anakubalika na kupendwa sana sana na watanzania. Hiyo ni kutokana na uchapakazi kazi wake,ujasiri wake katika kufanya maamuzi, kupambana na mtu yeyote yule awaye na cheo chochote kile na utajiri wa aina yoyote ile katika kutetea wanyonge,kusaidia watu wenye uhitaji na usikivu wake mkubwa kwa wanyonge na watu wa aina zote.
Mwamba Mwenyewe Makonda Ni mtu ambaye anapenda sana kuona wanyonge na watanzania maskini wanapata haki zao bila kuonewa.ndio sababu watu humiminika na kufurika katika mikutano yake utafikiri mchanga wa baharini.
Kama kuna mtu anamchukia Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda,basi afahamu kuwa hataweza kuzuia upendo mkubwa walionao watanzania wa maeneo mbalimbali kwa Mwamba huyu anayeendelea kuteka mioyo ya mamilioni ya watanzania.
Jiulize kwanini anakubalika sana na watanzania? Kwanini anafuatiliwa sana habari zake? Kwanini anaushawishi mkubwa sana kwa watanzania?kwanini anatabiriwi makubwa sana kiuongozi?
Jibu ni kuwa ni lazima tukubali wote kama Taifa kuwa Mwamba Mwenyewe Makonda ni kiongozi mchapa kazi,jasiri na mbunifu sana katika uongozi.Ni kiongozi ambaye akipewa nafasi hata kwa siku moja tu au majukumu ya siku moja tu anayafanya katika namna ambayo alama zake huwezi kuzifuta hata kwa kukwangua na jembe la mkono.
Niambie ni wapi Ambako Mwamba hajaacha Alama za kiuongozi mpaka alipofika hapo? Ni wapi ambako Mwamba hakumbukwi kuwa mahali hapa na katika nafasi hii alipita Mwanaume wa kazi Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda?
Mwisho niseme wazi kuwa kama kuna mtu anamuombea Mabaya Mwamba Mwenyewe Paul Makonda,basi anajisumbua tu kwa sababu huyu Mwamba yupo na amefika hapo kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu tu. Vita ambayo Mungu amempigania ni kubwa sana na ambayo kama siyo ulinzi wa Mungu na uwepo wa Mungu katika Maisha yake basi angekuwa amebaki historia tu hapa Duniani.lakini yupo hivyo alivyo kwa sababu Mungu ana makusudi maalumu na huyu Mwamba juu ya Ardhi ya Tanzania.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
PIA SOMA
- Makonda arejea, akagua uwanja wa ndege Kisongo
Nimekusamehe bure kabisaNgumbaru mbumbumbu
Nimekusamehe bure kabisa
Kweli kabisa hayuko sawa, Allah amkinge na hasadi na husdah mbaya za walimwengu, dunia imekuwa uwanja wa vita, baina yetu, pia endapo kama aliwahi wafanyia husdah mbaya wengine amlilie mola wake, pia akumbuke, hasadi hachoki anapodhamiria!Nimeona video yake ya Arusha Kisongo Eyapoti, Makonda anaonesha kweli alikua anaumwa na bado hajapata nguvu sawasawa. Amekonda sana na mvuto umefifia.
Mwenyezi Mungu amsalimu salama, aendelee na majukumu yake kwa salama na amani.
Huna hoja ya kuhitaji majibuJibu hoja, sihitaji msamaha wako.
I'm not a fool.
Mipaja ya kike na mitraco imesinyaa??Nimeona video yake ya Arusha Kisongo Eyapoti, Makonda anaonesha kweli alikua anaumwa na bado hajapata nguvu sawasawa. Amekonda sana na mvuto umefifia.