kingundya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 2,000
- 3,352
Wewe ndio huwa upo karibu nae au umemuacha mbali leoAliyeko karibu na Lucas ampokonye simu..!🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio huwa upo karibu nae au umemuacha mbali leoAliyeko karibu na Lucas ampokonye simu..!🙌
We mjinga marehemu anaendelea vizuri bado hajaozaMwamba Mwenyewe Paul Makonda ataendelea kuishi kwa kadri Mungu alivyompangia.chuki binafsi za binadamu mafisadi ,wala rushwa na wahalifu haziwezi kufanya lolote lile kwa Mwamba anayelindwa na Mungu Mwenyewe
Utakufa na roho lako hilo la kishetaniWe mjinga marehemu anaendelea vizuri bado hajaoza
Shetani ni mapaja ya mama yakoUtakufa na roho lako hilo la kishetani
Umesamehewa dhambi zako bure kabisa.enenda na amani ya Bwana ukawe Mwalimu wa waovu wengine.Shetani ni mapaja ya mama yako
Kwani Ben amepelekwa wapi?kawaambia alipompeleka Ben Saanane?
Unanipotezea muda mav weweUmesamehewa dhambi zako bure kabisa.enenda na amani ya Bwana ukawe Mwalimu wa waovu wengine.
Umesamehewa dhambi zako bure kabisa.amani ya Bwani iwe pamoja nawe.Unanipotezea muda mav wewe
..
Yule ni nyamitakoNi makonda au Bashite????
Labda amekububujisha wewe machozi kwenye faragha zenu, wote tumeona video akuna kitu kama hicho .Ndugu zangu watanzania,
Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda,Kijana Jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara, Field Marshal,jabali la Siasa. Mwamba Mwamba Mwamba Mwenyewe Makonda Hatimaye kwa mara nyingine tena atikisa ,atetemesha,Awabubujisha watu Machozi utafikiri watu waliopigwa bomu la machozi katika chumba walichokuwa wamejificha.
Mwamba Mwenyewe Paul Makonda kwa hakika huyu Mtu Siyo wa Kawaida ,Ni Mtu na Nusu,Ni mtu anayependwa na watanzania kwelikweli. Anaongoza mkoa wa Arusha lakini wananchi na watanzania wanamfuatilia habari zake kila uchao. Nimeshuhudia watu wakiwa na furaha kubwa na kushangilia utafikiri wana ndoa waliopata mtoto baada ya kukaa miaka kumi bila kupata Mtoto.
Unaweza ukawa na chuki binafsi na Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Makonda lakini utakubali ukweli kuwa huyu Mwamba anakubalika na kupendwa sana sana na watanzania. Hiyo ni kutokana na uchapakazi kazi wake,ujasiri wake katika kufanya maamuzi, kupambana na mtu yeyote yule awaye na cheo chochote kile na utajiri wa aina yoyote ile katika kutetea wanyonge,kusaidia watu wenye uhitaji na usikivu wake mkubwa kwa wanyonge na watu wa aina zote.
Mwamba Mwenyewe Makonda Ni mtu ambaye anapenda sana kuona wanyonge na watanzania maskini wanapata haki zao bila kuonewa.ndio sababu watu humiminika na kufurika katika mikutano yake utafikiri mchanga wa baharini.
Kama kuna mtu anamchukia Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda,basi afahamu kuwa hataweza kuzuia upendo mkubwa walionao watanzania wa maeneo mbalimbali kwa Mwamba huyu anayeendelea kuteka mioyo ya mamilioni ya watanzania.
Jiulize kwanini anakubalika sana na watanzania? Kwanini anafuatiliwa sana habari zake? Kwanini anaushawishi mkubwa sana kwa watanzania?kwanini anatabiriwi makubwa sana kiuongozi?
Jibu ni kuwa ni lazima tukubali wote kama Taifa kuwa Mwamba Mwenyewe Makonda ni kiongozi mchapa kazi,jasiri na mbunifu sana katika uongozi.Ni kiongozi ambaye akipewa nafasi hata kwa siku moja tu au majukumu ya siku moja tu anayafanya katika namna ambayo alama zake huwezi kuzifuta hata kwa kukwangua na jembe la mkono.
Niambie ni wapi Ambako Mwamba hajaacha Alama za kiuongozi mpaka alipofika hapo? Ni wapi ambako Mwamba hakumbukwi kuwa mahali hapa na katika nafasi hii alipita Mwanaume wa kazi Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda?
Mwisho niseme wazi kuwa kama kuna mtu anamuombea Mabaya Mwamba Mwenyewe Paul Makonda,basi anajisumbua tu kwa sababu huyu Mwamba yupo na amefika hapo kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu tu. Vita ambayo Mungu amempigania ni kubwa sana na ambayo kama siyo ulinzi wa Mungu na uwepo wa Mungu katika Maisha yake basi angekuwa amebaki historia tu hapa Duniani.lakini yupo hivyo alivyo kwa sababu Mungu ana makusudi maalumu na huyu Mwamba juu ya Ardhi ya Tanzania.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
PIA SOMA
- Makonda arejea, akagua uwanja wa ndege Kisongo
Huyo paka hawezi kuepuka kunywa kikombe cha madhambi aliyotenda dhidi ya wasio na hatia. Hiyo sumu aliyonyweshwa ni mwanzo tu au ku-test mitamboLabda wewe ndiye uliua kwenye hizo familia.
You narrow minded person, post zako zinakutambulishaMimi ni akili kubwa na siyo akili ndogo kama wewe.
Aliuliwa na huyo shetani Makonda ila hatujui mwili wake alienda kuutupa wapi.Kwani Ben amepelekwa wapi?
Who's is Mange Kimambi by the way?Umesoma alichoandika Mange Kimambi kuwa kutoonekana kwake ni staged au unasifu na kuabudu tu? Amekuwa preempted maana imekuwa kama Dada wa Taifa alisema jana
Utakufa wewe na ujinga wako.Huyo paka hawezi kuepuka kunywa kilombe cha madhambi aliyotenda dhidi ya wasio na hatia. Hiyo sumu aliyonyweshwa ni mwanzo tu au ku-test mitambo