Paul Makonda awataje hadharani Watu Wanaomroga Rais ili asije akafanya Maamuzi Makubwa kwa Kulogwa na hao watu

Huyu Mwamba anakubalika ,kupendwa,kuaminika na kibali mbele za watu alichopewa na Mungu Mwenyewe.
Bandiko zima limejaa:

mahaba

hali ya kuingiwa moyoni na mtu au kitu na kukithamini zaidi ya vingine

Ni maandamano yaliyogusa hisia za mamilioni ya watu ambao wameonyesha kuguswa sana
Kisha likabebwa zaidi na:

propaganda

habari zilizotiwa chumvi sana au za uongo zitolewazo kwa lengo la kushawishi watu kuamini au kukubali jambo fulani

Ni maandamano ambayo yamewahusisha viongozi mbalimbali wa dini kutoka madhehebu mbalimbali
Huyu mwandishi alikuwa ndani ya Vatican,kwa siri alizoziona ndani, akatoa kitabu kilichouza sana na kupata umaarufu mkubwa!

Alitoa nukuu zifuatazo kuhusu watu aina ya Makonda na wakuu wa dini:

"The most dangerous of men are those who appear very religious".Dr. Rivera

"They have the deep respect of the people who are ignorant of their ungodly push for power behind the scenes"
.Dr. Rivera

"These religious men, who pretend to love God, will resort to murder, incite revolution and wars if necessary to help their cause". Dr. Rivera

"They are crafty,intelligent, smooth religious politicians who live in a shadowy world of secrets, intrigue, and phony holiness".Dr. Rivera

Tusome hiki kitabu kisha tumpime bwana Makonda na watu wa dini!
 

Attachments

Aiseeee you can't believe you're eyes unless you add another two eyes , yaani mtu anaamini imani za dark ages , according to history of Europe those days people believed witchcraft at the maximum ( 15th century) mtu analeta Tena imani hizo hadharani karne ya 21 .
 
Ina maana Ikulu hapakaliki kuna hirizi au nini? Wana sayansi mtuambie kama ulozi unapimika kwa kutumia nini?
 
Uchawi upo na utaendelea kuwepo na umekuwepo kwa miaka mingi sana iliyopita.
 
Duu yaani nyie mnaamini katika ulozi SIHIRI??🤣😀🤣😀
 
Huyo naye ni mshirikina tu kama alivyo Makonda. Ukoo wa Mwashambwa ni maarufu kwa mambo ya ndumba na uchunaji ngozi huko pande za Nyanda za juu.
 
Kati ya hao walozi Lucas Mwashambwa yumo na mauchawi ya Mbeya.
 
Kitu sijaelewa unatoa wazo au unapiga kampeni!! Hiyo kauli ya mwisho ya nani sijui muhura wa pili, ww umekua nani kutuamlia nani tumpe 2025??
 
Ni hatari sasa kama Taifa linaongozwa na mtu aliyerogwa!
Kama Paulo hampigi vijembe Mama aje atweleze ni nani hao wanaomloga Kiongozi wetu wa nchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…