Paul Makonda awataje hadharani Watu Wanaomroga Rais ili asije akafanya Maamuzi Makubwa kwa Kulogwa na hao watu

Laana inamsumbua anashinda kwa waganga huko Mbozi/Songwe analoga na kusifia ateuliwe kuwa DAS, jinga kabisa halina hata aibu, linashabikia kuongozwa na mzanzibar lakini lenyewe hata kupata kitambulisho cha mzanzibar kule Zanzibar haliruhusiwi
Na angejua kuwa huyo mama Abdul anavyowadharau Watanganyika tena wagalatia asingejipendekeza hivyo.
 
Watamalizana bure, upo umri unafikia utaugua pressure, sukari, Uti wa mgongo, hata uelewa utapungua,

Nani amroge jamani ?
 
Ni laana tupu anayo kwamba kwenye ukoo/kabila/Wilaya/Mkoa/Bara kote hakuna anayeweza kuwa Rais mpk aongozwe na mtu wa kutoka taifa jingine kama siyo ujizi ni nini?
Shida yenyewe hata akili ya kujipendekeza hana.

Anyway I ain’t got to for him, lengo lilikuwa ni kumpa maarifa.

N’gombe wa maskini hazai
 
mtajua wenyewe sisi tuna jua hatuna raisi
 
Ungekuwa na Mungu ndani yako ungeelewa maana ya jicho la tatu.
Acha Ujinga,

Jicho la tatu ni la uchawi, hakuna kitu kama hicho ndani ya BIBLIA,

Ndani ya BIBLIA Kuna " Macho ya rohoni, mawili.

Mtu wa ndani Hana Jicho Moja chongo, Jicho la tatu ni la kishetani.
 
Tanzania bado tuna safari ndefu sana kufika walipofika wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…