Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #121
Dogo acha moshi😃😃Hili jitu limelaaniwa ndiyo maana lipo UWT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo acha moshi😃😃Hili jitu limelaaniwa ndiyo maana lipo UWT
Hii ndiyo kazi anaiweza huyu shetaniHujui kitu wewe pimbi tu na ushamba wako wa kuchuna watu ngozi
Tulia wewe shetaniDogo acha moshi😃😃
Na angejua kuwa huyo mama Abdul anavyowadharau Watanganyika tena wagalatia asingejipendekeza hivyo.Laana inamsumbua anashinda kwa waganga huko Mbozi/Songwe analoga na kusifia ateuliwe kuwa DAS, jinga kabisa halina hata aibu, linashabikia kuongozwa na mzanzibar lakini lenyewe hata kupata kitambulisho cha mzanzibar kule Zanzibar haliruhusiwi
Kwa title ya hii mada yako unadhani upo upande gani? Au lengo lako linafaida kwa nani?Kuchomoka kwenda wapi.
Ni mwendawazimu pekee aaweza kumpenda mtu wa taifa jingine kuliko ndugu zakeNa angejua kuwa huyo mama Abdul anavyowadharau Watanganyika tena wagalatia asingejipendekeza hivyo.
Yupo Ileje huko anatafuta wagangaKwa title ya hii mada yako unadhani upo upande gani? Au lengo lako linafaida kwa nani?
Hajitambui MaCCM yanataka kusikia nini kutokana na utawala uliopo.Hili jitu limelaaniwa ndiyo maana lipo UWT
Ni laana tupu anayo kwamba kwenye ukoo/kabila/Wilaya/Mkoa/Bara kote hakuna anayeweza kuwa Rais mpk aongozwe na mtu wa kutoka taifa jingine kama siyo ujizi ni nini?Hajitambui MaCCM yanataka kusikia nini kutokana na utawala uliopo.
CCM chama, na mwenyekiti ndio mshika mpini.Yupo Ileje huko anatafuta waganga
Shida yenyewe hata akili ya kujipendekeza hana.Ni laana tupu anayo kwamba kwenye ukoo/kabila/Wilaya/Mkoa/Bara kote hakuna anayeweza kuwa Rais mpk aongozwe na mtu wa kutoka taifa jingine kama siyo ujizi ni nini?
Ni mjinga snCCM chama, na mwenyekiti ndio mshika mpini.
Chawa mzuri unatakiwa kuelewa yepi uachane nayo.
Anapambana na vitu vya kumuharibia, mtu wa boss. Hata aelewi somo.
TumuombeeShida yenyewe hata akili ya kujipendekeza hana.
Anyway I ain’t got to for him, lengo lilikuwa ni kumpa maarifa.
N’gombe wa maskini hazai
mtajua wenyewe sisi tuna jua hatuna raisiNdugu zangu Watanzania,
Leo Tanzania na Dunia nzima imeshuhudia maandamano na matembezi makubwa sana ya amani kuwahi kushuhudiwa kanda ya kaskazini yakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Arusha Mwamba Mwenyewe Paul christian Makonda kijana Jasiri kuwahi kutokea katika ukanda wa kusini Mwa jangwa la Sahara.
Ni maandamano ambayo yamewahusisha viongozi mbalimbali wa dini kutoka madhehebu mbalimbali hapa Nchini. ni maandamano yaliyokuwa na lengo ya kuliombea jiji na mkoa mzima wa Arusha.ni maandamano Makubwa yaliyotikisa ukanda wote wa Afrika mashariki na habari zake kusambaa katika vyombo mbalimbali ndani na nje ya Nchi.
Ni maandamano yaliyogusa hisia za mamilioni ya watu ambao wameonyesha kuguswa sana na ubunifu wa kiongozi huyo kijana na mwenye Kalama ya uongozi na ambaye amekuwa akitabiliwa makubwa kwa siku za usoni.
Ni maandamano ambayo yameonyesha namna Mwamba Mwenyewe Paul Makonda alivyo na ushawishi mkubwa hapa Nchini kumpita kijana yeyote yule wa umri na rika lake kwa hakika unaweza kumchukia na kuwa na chuki na Mwamba huyu lakini ni ngumu kukataa na kupinga ukweli kuwa huyu Mwamba anapendwa na kukubalika na watu kupita maelezo.
Huyu Mwamba anakubalika ,kupendwa,kuaminika na kibali mbele za watu alichopewa na Mungu Mwenyewe ni kijana ambaye ukimchukia ndio ni kama unamuongezea hatua katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.anapendwa mpaka Dunia inashangaa huyu siyo mtu wa kawaida na kuna kitu Mungu amekusudia kuja kumpa kijana huyu juu ya ardhi ya Tanzania ili aweze kutimiza kijana huyu ambaye hawezi kutamka sentesi tano bila kumtaja Mungu na ukuu wake.
Amepigwa kila aina ya mishale na kila aina ya fitina na kila aina ya Majungu lakini amebakia kuwa imara kuliko jana na juzi na wakati wowote ule ni kijana jasiri ,imara,madhubuti,shupavu mpaka maadui zake wanamhaha na kuogopa hata kusikia Sauti yake ikiunguruma kama Simba.
Sasa leo Mwamba amesema kuna watu Wanaomroga RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan shujaa wa Afrika. Ambapo kwa ujasiri kabisa ametamka maneno hayo hadharani maneno ambayo yametikisa na kuleta mijadala mitaani kote.
Sasa nilikuwa naona kama ingewezekana awataje watu hao hadharani ili waweze kujulikana kwa watanzania. Maana wakati mwingine mchawi anakosa nguvu ukimwambia na kumuweka wazi na peupe.
Maana hawa wachawi wanaweza kuungana na kumroga Rais wetu mpaka kuathiri hadi katika maamuzi afanyayo RAIS .ikumbukwe ya kuwa uchawi upo na umetajwa hadi katika biblia.
Hawa wachawi wanaweza kumroga Rais wetu hadi akajikuta anateua watu ambao hawana sifa kabisa ya kupewa uteuzi au akatengua wengine ambao wana sifa na uchapakazi uliotukuka AU kufanya maamuzi makubwa yenye athari kwa Taifa letu kwa kizazi hiki na vizazi vijavyo.
Kwa hiyo ni muhimu hawa wachawi watajwe kabisa ili wajulikane kabisa ni maadui wa Taifa letu maana kama ambavyo baba wa Taifa hayati Mwalimu Nyerere alivyosema katika kitabu chake cha uongozi wetu na hatima ya Tanzania kuwa ukimtikisa Rais unakuwa umetikisa hadi Nchi.
Mwamba Makonda najua ni jasiri na ndio maana sote tuliona namna alivyowataja majina wale wote waliokuwa wanajihusisha na masuala ya madawa ya kulevya.
Japo ushahidi haukupatikana kwa baadhi ya watu kwa kuwa kesi zilikuwa hazijaenda mahakamani na hivyo wengine kudai kuwa walikuwa wanachafuliwa na kukomolewa na wengine kudai kuwa alikuwa anapewa kibuli cha kuwakomoa baadhi ya watu na aliyekuwa Rais wetu wa awamu ya Tano Mheshimiwa Hayati Daktari Mwalimu John Pombe Joseph Magufuli.
Kutowataja watu hao Wanaomroga RAIS inaweza leta taharuki na kuanza kutajwa kwa majina ya watu hovyo hovyo au kuanza kuchafuana kwa baadhi ya watu.
Ngoja niweke kalamu yangu chini mara moja.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha Ujinga,Ungekuwa na Mungu ndani yako ungeelewa maana ya jicho la tatu.
Anatakiwa kuzielewa siasa za Tanzania.Tumuombee
Shida hana akili timamu yeye anawaza kuwa DAS ndiyo maana mwisho huandika full name ili TISS wamuoneAnatakiwa kuzielewa siasa za Tanzania.
Yepi kuwa kiherehere (ata kama mengine unachochewa) na yepi ya kuacha.
Akili kichwani.