CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Mimi siyo tishio kwaoMbona wewe hujauwawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siyo tishio kwaoMbona wewe hujauwawa.
Ni kweli maana hata akili yako ni ndogo sana.Mimi siyo tishio kwao
Hujui kitu wewe pimbi tu na ushamba wako wa kuchuna watu ngoziWewe ndiye wa vibarazani na umbeya wako.
Unasemaje.
Sawa akili yangu ndogo wewe huna akili kabisa.Ni kweli maana hata akili yako ni ndogo sana.
Mimi nina akili kupita ukoo wako woteSawa akili yangu ndogo wewe huna akili kabisa.
Kumbe nanyie UWT mnakerwa na huyu shetani kutwa kusifia ujinga badala ya kuwa msaada kwa jamiiNadhani utakuwa Namba one 😄
Unajua maana ya Uchawi wa kujipendekeza?
Ni mbaya kuliko wa mizizi ya Dr Mshana Jr
Hata jana alikuwa anafanya mazindiko hapa ArushaKabla ya kufanya hivyo ni vema akawataja kwanza wale Waganga aliokuwa anampelekea Jiwe Magogoni
Ungekuwa na akili hata asilimia moja tu ya akili niliyo nayo ungeshapata uteuzi, utasugua benchi sana kusifia wanaume wenzako lakini kamwe huwezi kuteuliwa kwa sababu huna akili.Mimi nina akili kupita ukoo wako wote
Laana inamsumbua anashinda kwa waganga huko Mbozi/Songwe analoga na kusifia ateuliwe kuwa DAS, jinga kabisa halina hata aibu, linashabikia kuongozwa na mzanzibar lakini lenyewe hata kupata kitambulisho cha mzanzibar kule Zanzibar haliruhusiwiUngekuwa na akili hata asilimia moja tu ya akili niliyo nayo ungeshapata uteuzi, utasugua benchi sana kusifia wanaume wenzako lakini kamwe huwezi kuteuliwa kwa sababu huna akili.
Huyu shetani anajua teuzi zinakuja kwa kusifia na kulogaSawa akili yangu ndogo wewe huna akili kabisa.
Nilitaka kuandika post ya kina kukupa ushauri nimeona nikupuuze.Hivi umeandika baada ya kufikiri au umeandika ndio ukaanza kufikiri ulichoandika? Acha kukurupuka hapa. Wewe ni mnafiki na usiye na msimamo wala akili ya kusimamia jambo
Hivi na wewe unaweza kumpa mtu ushauri? Hapana mimi sihitaji ushauri wako labda mimi ndiye nikupe ushauri na kukufundishaNilitaka kuandika post ya kina kukupa ushauri nimeona nikupuuze.
Kwa kifupi hujui hata kujipendekeza.
Hujui mipaka yako, ya kuelewa team ya mwenyekiti wako na kuacha kuingilia upuuzi wao.
In your little pathetic head unadhani unaweza twist maneno ya Makonda, raisi Samia akakupa points.
Unajua kwenye vita vya siasa kuna watu utangulizwa kutoa kauli ambazo boss hataki kuzitoa mwenyewe.
Raisi Samia sio pushover kwenye siasa anajua namna ya kukamata power.
Taahira wewe ujitambui
Wewe ulisharogwa na ukoo wako na ndio maana hunaga akili kabisa 😀😀Huyu shetani anajua teuzi zinakuja kwa kusifia na kuloga
Jaribu wewe na kuitukana serikali uone kama utatafutwa na wenye chama kukusajili au wanyofoa kucha kuja kukufumua marinda,Tangia lini na wewe ukawa na akili.
UchomokiHivi na wewe unaweza kumpa mtu ushauri? Hapana mimi sihitaji ushauri wako labda mimi ndiye nikupe ushauri na kukufundisha
Mi nipo vizuri ndiyo maana siwezi kumsifia mtu kutoka taifa jingine ili nipate uteuzi kwanza mimi ni mjasiriamali naamini katika kutafuta pesa na siyo shortcut za kijinga na kulonga ili niwe DAS, tuambie unashabikia mzanzibar na wakati wewe kule Zanzibar huruhusiwi hata kuwa Mwenyekiti wa Kitongoji wewe una akili timamu? wenzako wanakuja bara wanapora ardhi + vyeo unabaki kuwa mtumwa ndani ya taifa lako, nani alikudanganya wewe shetani kuwa raia wa taifa jingine atakuja kukuletea maendeleo? shitka wewe shetani una laana mbele za MUNGU na ukoo wako.Wewe ulisharogwa na ukoo wako na ndio maana hunaga akili kabisa 😀😀
Hili jitu limelaaniwa ndiyo maana lipo UWTNilitaka kuandika post ya kina kukupa ushauri nimeona nikupuuze.
Kwa kifupi hujui hata kujipendekeza.
Hujui mipaka yako, ya kuelewa team ya mwenyekiti wako na kuacha kuingilia upuuzi wao.
In your little pathetic head unadhani unaweza twist maneno ya Makonda, raisi Samia akakupa points.
Unajua kwenye vita vya siasa kuna watu utangulizwa kutoa kauli ambazo boss hataki kuzitoa mwenyewe.
Raisi Samia sio pushover kwenye siasa anajua namna ya kukamata power.
Taahira wewe ujitambui
Kuchomoka kwenda wapi.Uchomoki