PreGE2025 Paul Makonda: Gambo waombe radhi uliowaumiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,591
Reaction score
14,369
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amemtaka Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo kuomba radhi kwa watu aliowaumiza, huku akitaja kuwa aliwafitinisha.

Makonda amesema hayo wakati akizungumza katika maadhimisho ya Miaka 61 ya Muungano yanayofanyika leo kimkoa katika uwanja wa Soko la Kilombero mkoani Arusha ambapo mgeni rasmi ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko.

“Nampongeza kwa sababu moja kubwa, juzi ameomba radhi bungeni, amechonganisha chonganisha sana watu hapa na leo hapa ameanza kumsifia DC wangu (Mkuu wa Wilaya) kwa sifa zilezile ambazo alinisifiaga mimi nilipoteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa"

"Lakini sasa hivi hata kulitamka jina la Makonda hawezi, namsifu kwa sababu aliomba radhi. Alikuwa anaenda kuharibu maisha ya watu kwa kuwadanganya wabunge na kama Bunge lisingekuwa makini na Waziri wetu Mchengerwa kuwa imara, leo hii kuna watu wangepoteza kazi" amesema Makonda.

Makonda amesisitiza kuwa, bila Gambo kuwaomba radhi watu aliowaumiza, hatopata kibali mbele ya Mungu na wanadamu.

“Mambo yalivyoendelea yalipelekea simu ninazopata, unamuita Waziri wetu muongo. Hii stendi inayoanza kujengwa, hii nimemuomba Mchengerwa. Ilikuwa dizaini ndogo haikidhi viwango, akaongeza bajeti bilioni 30 ni faida kwa wananchi wa jiji, halafu unamuita Waziri wetu muongo".

"Kwa kuwa Bunge limemsamehe, mimi moyoni sina shaka naye, lakini sharti langu moja aliowaumiza na kuharibu maisha yao awaombe radhi, ili mbele ya Mungu na mbele ya wanadamu tupate kibali cha kuifanya kazi hii".

Soma pia: Pre GE2025 - Gambo akubali yaishe. Aomba radhi na kufuta kauli yake
 
Ligi inaendelea
 
Huyu dogo Gambo arudi tu kwenye kazi yake ya Mgambo
 
Nyani halioni kundule
Makonda ameumiza wengi sana alitakiwa awe segereaau jerusalem mpya kwa baba
 
Sema Gambo alijichanganya sana aisee...amepigwa kata funua moja ya maana..
NASHINDWA MAADILI YA HAWA VIONGOZI WETU ,NI VEMA KIONGOZI WA SERIKALI RC KUTUMIA MAJUKWAA YA KISERIKALI KUSHAMBULIA WENZAKE,IKO SIKU UVUMILIVU UTAKWISHA NGUMI ZITAPIGWA ,RC APUNGUNZE KIBURI .
 
Tulisema humu,alikurupuka kuibua ile tuhuma kipindi cha lala salama kila mtu anapigania usafi wake halafu grave mistake ni kuomba radhi.

Mako anafanya kilekile alichofanya "Mama" kwa Ndugai.

Ukijishusha,unanyenyuliwa halafu unanyukwa hadi unajiona choo!
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amemtaka Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo kuomba radhi kwa watu aliowaumiza, huku akitaja kuwa aliwafitinisha.

Makonda amesema hayo wakati akizungumza katika maadhimisho ya Miaka 61 ya Muungano yanayofanyika leo kimkoa katika uwanja wa Soko la Kilombero mkoani Arusha ambapo mgeni rasmi ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko.

“Nampongeza kwa sababu moja kubwa, juzi ameomba radhi bungeni, amechonganisha chonganisha sana watu hapa na leo hapa ameanza kumsifia DC wangu (Mkuu wa Wilaya) kwa sifa zilezile ambazo alinisifiaga mimi nilipoteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa"

"Lakini sasa hivi hata kulitamka jina la Makonda hawezi, namsifu kwa sababu aliomba radhi. Alikuwa anaenda kuharibu maisha ya watu kwa kuwadanganya wabunge na kama Bunge lisingekuwa makini na Waziri wetu Mchengerwa kuwa imara, leo hii kuna watu wangepoteza kazi" amesema Makonda.

Makonda amesisitiza kuwa, bila Gambo kuwaomba radhi watu aliowaumiza, hatopata kibali mbele ya Mungu na wanadamu.

“Mambo yalivyoendelea yalipelekea simu ninazopata, unamuita Waziri wetu muongo. Hii stendi inayoanza kujengwa, hii nimemuomba Mchengerwa. Ilikuwa dizaini ndogo haikidhi viwango, akaongeza bajeti bilioni 30 ni faida kwa wananchi wa jiji, halafu unamuita Waziri wetu muongo".

"Kwa kuwa Bunge limemsamehe, mimi moyoni sina shaka naye, lakini sharti langu moja aliowaumiza na kuharibu maisha yao awaombe radhi, ili mbele ya Mungu na mbele ya wanadamu tupate kibali cha kuifanya kazi hii".
View attachment 3316451
Soma pia: Pre GE2025 - Gambo akubali yaishe. Aomba radhi na kufuta kauli yake
Sasa naamini Makonda alishiriki au alifanya plani ya kutaka kumuua Lisu. Na anafikiri ile kuungama kanisani dhambi imekwisha.

Hapana kuna dhambi hazisameheki, kuua na dhuluma. Anataja Mungu kila wakati, hiyo haitoki. Ni dhambi ya mauti
 
Hapa ndipo ninapoamini kuwa Makonda ni zero brain. Kuna sababu gani kutumia jukwaa kumdhalilisha Mbunge?? Hata kama kweli Gambo ana mapungufu yake pale siyo sehemu yake.

Makonda anachofanya ni kumdhoofisha, kumdhalilisha na kumpotezea Mh Gambo imani kwa wapiga kura wake.

Naomba Makonda ajue mikono ya Mh Gambo haijamwaga damu za watu. Makonda mikono yake imejaa damu za watu. Toka awe Mkuu wa Mkoa wa Ars hajawahi kutoa dira ya maendeleo zaidi ya majungu na kuwanyooshea wenziye vidole.

Ameshafunga barabara kufanya matambiko ya kuzuia kelele za damu ya watu iliyojaa mikononi mwake. Na kamwe hatopata amani moyoni mwake.
 
Sasa naamini Makonda alishiriki au alifanya plani ya kutaka kumuua Lisu. Na anafikiri ile kuungama kanisani dhambi imekwisha.

Hapana kuna dhambi hazisameheki, kuua na dhuluma. Anataja Mungu kila wakati, hiyo haitoki. Ni dhambi ya mauti
Mbona Musa wa kwenye Biblia alisamehewa kwa kumuua kijana wa Misri?
 
Back
Top Bottom