PreGE2025 Paul Makonda: Gambo waombe radhi uliowaumiza

PreGE2025 Paul Makonda: Gambo waombe radhi uliowaumiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hapo sasa anamdhalilisha,asamehe yaishe tu.
 
Ukimsikiliza Makonda Kisha ukaambiwa Nchi Ina zaid ya watu million 60 unabak unajiuliza. Ikiwa nchi yenye watu million 60 inakuaje mtu kama Makonda anashika wadhifa alionao?
 
Gambo kakalia msumari.
Dunia hii. Mh makonda alikua kimya sana mara baada ya kifo cha mzee wetu, kabla ya hapo alikua anasauti kubwa. Hivi sasa karudi speed ya ajabu. Akumbuke tu, hii dunia ni dynamic sio static. Ajifunze kwa gambo
 
Mimi naona wote Makonda na Gambo ni vijana tu! Wote wawili hawajawa matured kabisa.Wasingevunjiana heshima mbele ya watu,bado tangu mwanzo wangewekana sawa na mambo yangeisha kistaarabu.
 
Huyu dogo Gambo arudi tu kwenye kazi yake ya Mgambo
Hapa huyu hasingiziwi...Ni mfitini, wengi wanadai hivyo...Kila alichokioanda atakivuna...Japo pale bungeni ilionekana anaonewa
 
Wameanza kulana wao kwa wao.

Na bado huyo Makonda zamu yake ya kuambiwa atubu inakuja
 
Back
Top Bottom