Paul Makonda hana sababu ya kumfungulia kesi Tundu Lissu

Unazidiwa sana na Kibajaj, Jah people na Msukuma katika kuchambua mambo

Kama kweli umefika Chuo hata pale CBE walikomtunuku Ngao kafulila basi hukitendei haki Chuo ulichosoma

Na kama Wewe ndio umejitolea kumtetea Rais Samia kwenye hoja za wapinzani na UVCCM wameridhia basi ni heri uvccm ifutwe tu 😂😂😂

Narudia tena, Wewe ni Darasa la ngapi?

Au nimuulize mwajiri wako Bilionea Sugu? 🐼
Sawa kabisa; huyu Lucas inaelekea mjua kusoma na kuandika; hajua mwezie Makonda anajua maana ya Consequences kwenye Ethics; yaani Lisu atamlalua Makonda kama mbuzi; Makonda hawezi Kwenda Mahakamani.

Consequentialism - Ethical theory - Hata vyeti vya Makonda ni fake, jina lake ni fake etc etc
 
Unalizaje swali kama hilo ambalo ukimuuliza hata mwenyekiti wako wa CHADEMA Taifa anaweza kukujibu?
Lucas Mbowe ana MBA, wewe unayo? Na kasoma vizuri sana kiingereza; mlilmsema sana akawa anajisomea; nyie huku na majungu yenu na huyo Mipasho Dr. wa kununua Shahada. Mbowe kaenda Darasani with high standard Professors
 
Ndugu zangu Watanzania,

Siasa ni sayansi na sayansi ina kanuni zake. Siasa ni mchezo wa akili,siasa ni mchezo wa karata inategemeana unachanga vipi karata zako na unatupa vipi karata na wakati upi utupe ipi na uambatanishe na ipi. Kwenye siasa mtu anaweza kukutukana sana lakini ukabakia kimya na wewe ndiye ukawa mshindi katika mioyo ya watu.

Kwenye siasa hatujibu kila kitu,hatuzungumzii kila kitu,hatuongei kila wakati,hatuendi mahakamani kwa kila jambo.kwa sababu ukiyatekeleza hayo yote kwa kuzungumza kila kitu,kujibu kila neno,kwenda mahakamani kwa kila jambo utajikuta muda wote unajihami tu na kujeruhiwa tu.maana muda wote wapinzani wako watakuwa wanashinda langoni pako ili uzungumze wanachotaka wao. Kwa hiyo muda wote utafanya na kutekeleza ajenda zao.

Kwenye siasa watu wanalishambulia na kuliua jina kwanza. Kwa sababu jina ndio ushindi wa mtu katika kila hatua.ndio maana ikitokea kuna nafasi wazi imetokea utaona watu wakitaja majina mengi mengi kwa ajili ya nafasi hiyo.kwa sababu jina lina maana kubwa sana.na ndio maana wanasema bora jina jema kuliko mali nyingi.Jina ndio linabeba ushindi wa mtu.Lengo la lissu ni kutaka kuliua na kuliharibu jina Mwamba Mwenyewe Paul Makonda.

Kwenye siasa kuna namna ya kupambana na watu aina ya Lissu.kwanza ni lazima ufahamu historia ya aina ya mtu unayepambana naye kama Lissu. ni lazima ufahamu kuwa kupambana na lissu ni kumpuuza na kumjibu pale tu inapolazimika sana. Kwa sababu ni mtu mropokaji ,mwenye mihemuko na mkurupukaji Sana .

Ni mtu ambaye ameutumia mdomo wake katika maisha yake yote kuwatukana watu, kuwadhalilisha watu,kuwavunjia heshima,kuwatweza kama ambavyo mnakumbuka maneno yake kwenda kwa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Edward Lowassa, Mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete,Mama yetu Mpendwa Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hasssan,Zitto Kabwe,na wengine wengi sana.

Lakini hao wote ambao wapo hai utaona kuwa waliamua kumpuuza na kumuacha tu na mwisho wa siku walikuwa washindi katika Mioyo ya mamilioni ya watanzania .Alimtukana sana Hayati Edward lowassa lakini hakumjibu kitu wala kumpeleka mahakamani na mwisho alibakia na heshima yake na kuaminika na hata baadaye kupewa nafasi ya kugombea Urais alipoingia CHADEMA.

Angalia namna ambavyo ametumia muda wake mwingi sana Kwa Rais wetu Mpendwa na kipenzi chetu Mama Samia kumtukana, kumdhalilisha,kutumia lugha za kibaguzi kwake,kumtweza utu wake na kumshambulia kwa kila aina ya lugha chafu na mbaya.lakini Rais wetu anaendelea kumpuuza na Mwisho wa siku watanzania pia wameendelea kumpuuza Lissu na kumuona ni mropokaji tu asiye na adabu na staha.

Angalia huyo huyo Lissu aliyekishambulia chama chake kuwa kimepokea na kuingiza pesa za rushwa.lakini pamoja na tuhuma hizo nzito hukuona Mbowe wala Mnyika wala John Mrema wakitoka hadharani kumjibu.walikaa kimya kwa sababu wanajuwa lissu ni mropokaji,mkurupukaji na mwenye mihemuko ya kitoto.

Kwa hiyo mtu kama huyu kisiasa unampuuza tu,unaachana naye na kuendelea na mambo yako.kwa sababu yeye kazi yake ni kutafuta kuwa midomoni Mwa watu.tuhuma alizoziongea sasa hazina upya wowote masikioni Mwa watanzania.kwa sababu alishaziongea sana na watu wakazipuuza tu. kwa sababu zilikuwa na muda wote zimekuwa hazina ushahidi wa aina yoyote ile.narudia kusema kuwa hazina na hazijawahi kuwa na ushahidi wa aina yoyote ile.

Watanzania wanafahamu lissu ni mropokaji sana na mwenye kinywa na Mdomo mchafu sana wa maneno. Ndio maana tangia wakati wa hayati Benjamini Mkapa amekuwa akipuuzwa tu. Kumpeleka mahakamani ni kumpa kiki ambayo ndio lengo lake kubwa katika wakati huu ambao amepuuzwa na kupoteza ushawishi kwa watanzania kisiasa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Pia, soma: Tetesi: - Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kumburuza mahakamani Tundu Lissu kwa defamation case ya kumuita na kumtangaza muuaji.
We ni punguani.
Huyo shoga hukumbuki alimpiga kibao mzee warioba pale ubungo plaza?
Hukumbuki alitukana wachaga wote kipindi cha msiba wa Mengi na akamletea jeuri askofu SHOO pale kkkt Moshi?
Hukumbuki alitaka kukwepa kodi bandarini makontena yake hadi commissioner wakati ule akiwa huyu makamo wa rais wa sasa?
Hukumbuki alikua anamtukana sana lowasa?

Punguani wewe
 
Lucas Mbowe ana MBA, wewe unayo? Na kasoma vizuri sana kiingereza; mlilmsema sana akawa anajisomea; nyie huku na majungu yenu na huyo Mipasho Dr. wa kununua Shahada. Mbowe kaenda Darasani with high standard Professors
Unaifahamu Elimu ya Mbowe wewe? Unayafahamu matokeo yake ya kidato cha sita?
 
Sawa kabisa; huyu Lucas inaelekea mjua kusoma na kuandika; hajua mwezie Makonda anajua maana ya Consequences kwenye Ethics; yaani Lisu atamlalua Makonda kama mbuzi; Makonda hawezi Kwenda Mahakamani.

Consequentialism - Ethical theory - Hata vyeti vya Makonda ni fake, jina lake ni fake etc etc
Matusi mangapi lissu Alimtukana hayati Edward lowassa? Nini kilitokea 2015?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Siasa ni sayansi na sayansi ina kanuni zake. Siasa ni mchezo wa akili,siasa ni mchezo wa karata inategemeana unachanga vipi karata zako na unatupa vipi karata na wakati upi utupe ipi na uambatanishe na ipi. Kwenye siasa mtu anaweza kukutukana sana lakini ukabakia kimya na wewe ndiye ukawa mshindi katika mioyo ya watu.

Kwenye siasa hatujibu kila kitu,hatuzungumzii kila kitu,hatuongei kila wakati,hatuendi mahakamani kwa kila jambo.kwa sababu ukiyatekeleza hayo yote kwa kuzungumza kila kitu,kujibu kila neno,kwenda mahakamani kwa kila jambo utajikuta muda wote unajihami tu na kujeruhiwa tu.maana muda wote wapinzani wako watakuwa wanashinda langoni pako ili uzungumze wanachotaka wao. Kwa hiyo muda wote utafanya na kutekeleza ajenda zao.

Kwenye siasa watu wanalishambulia na kuliua jina kwanza. Kwa sababu jina ndio ushindi wa mtu katika kila hatua.ndio maana ikitokea kuna nafasi wazi imetokea utaona watu wakitaja majina mengi mengi kwa ajili ya nafasi hiyo.kwa sababu jina lina maana kubwa sana.na ndio maana wanasema bora jina jema kuliko mali nyingi.Jina ndio linabeba ushindi wa mtu.Lengo la lissu ni kutaka kuliua na kuliharibu jina Mwamba Mwenyewe Paul Makonda.

Kwenye siasa kuna namna ya kupambana na watu aina ya Lissu.kwanza ni lazima ufahamu historia ya aina ya mtu unayepambana naye kama Lissu. ni lazima ufahamu kuwa kupambana na lissu ni kumpuuza na kumjibu pale tu inapolazimika sana. Kwa sababu ni mtu mropokaji ,mwenye mihemuko na mkurupukaji Sana .

Ni mtu ambaye ameutumia mdomo wake katika maisha yake yote kuwatukana watu, kuwadhalilisha watu,kuwavunjia heshima,kuwatweza kama ambavyo mnakumbuka maneno yake kwenda kwa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Edward Lowassa, Mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete,Mama yetu Mpendwa Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hasssan,Zitto Kabwe,na wengine wengi sana.

Lakini hao wote ambao wapo hai utaona kuwa waliamua kumpuuza na kumuacha tu na mwisho wa siku walikuwa washindi katika Mioyo ya mamilioni ya watanzania .Alimtukana sana Hayati Edward lowassa lakini hakumjibu kitu wala kumpeleka mahakamani na mwisho alibakia na heshima yake na kuaminika na hata baadaye kupewa nafasi ya kugombea Urais alipoingia CHADEMA.

Angalia namna ambavyo ametumia muda wake mwingi sana Kwa Rais wetu Mpendwa na kipenzi chetu Mama Samia kumtukana, kumdhalilisha,kutumia lugha za kibaguzi kwake,kumtweza utu wake na kumshambulia kwa kila aina ya lugha chafu na mbaya.lakini Rais wetu anaendelea kumpuuza na Mwisho wa siku watanzania pia wameendelea kumpuuza Lissu na kumuona ni mropokaji tu asiye na adabu na staha.

Angalia huyo huyo Lissu aliyekishambulia chama chake kuwa kimepokea na kuingiza pesa za rushwa.lakini pamoja na tuhuma hizo nzito hukuona Mbowe wala Mnyika wala John Mrema wakitoka hadharani kumjibu.walikaa kimya kwa sababu wanajuwa lissu ni mropokaji,mkurupukaji na mwenye mihemuko ya kitoto.

Kwa hiyo mtu kama huyu kisiasa unampuuza tu,unaachana naye na kuendelea na mambo yako.kwa sababu yeye kazi yake ni kutafuta kuwa midomoni Mwa watu.tuhuma alizoziongea sasa hazina upya wowote masikioni Mwa watanzania.kwa sababu alishaziongea sana na watu wakazipuuza tu. kwa sababu zilikuwa na muda wote zimekuwa hazina ushahidi wa aina yoyote ile.narudia kusema kuwa hazina na hazijawahi kuwa na ushahidi wa aina yoyote ile.

Watanzania wanafahamu lissu ni mropokaji sana na mwenye kinywa na Mdomo mchafu sana wa maneno. Ndio maana tangia wakati wa hayati Benjamini Mkapa amekuwa akipuuzwa tu. Kumpeleka mahakamani ni kumpa kiki ambayo ndio lengo lake kubwa katika wakati huu ambao amepuuzwa na kupoteza ushawishi kwa watanzania kisiasa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Pia, soma: Tetesi: - Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kumburuza mahakamani Tundu Lissu kwa defamation case ya kumuita na kumtangaza muuaji.
Naona umejijibia tetesi zako mwenyewe. Yaani upo kwenye nyumba ya vioo unapiga watu mawe? Sehemu pekee ya kujisafisha kwa tuhuma hizo ni mahakamani na si kwa maelezo yako na mengine mitandaoni, makanisani na kwenye vyombo vya habari.
 
Shahawa zilizokuzaa heri zingemwagwa chooni tu
 
makonda magumashi hawezi enda mahakamani, kuanzia jina la kufoji, kesi yake ya kutaka kudhulumu nyumba ya gsm kwa mgongo wa magufuli iliishiaga wapi? aliishia kutupigia makelele tu, jizi, zurumati, janja janja nyingi.....halafu kuna clip moja linajaribu kujisafisha ooh....dereva wangu ndio alikuwa anaenda kuomba pesa kwa matajiri kwa niaba yangu bila mimi kujua, ni wewe ndio tabia zako usisingizie dereva.....na kama dereva alifanya kwa ujasiri baada ya kuona unavyofanya
 
Back
Top Bottom