Paul Makonda hana sababu ya kumfungulia kesi Tundu Lissu

Brother huwa unaandika madudu sana aisee hivi JF hawana hiyo Tuzo ili wakupatie...
 
Umeelewa somo Mzee wangu au kama kawaida yako ya kujibu bila kuelewa kilichoandikwa.
Mwambie makonda aende mahakamani na kesi yake ya tort of defamation akakumbane na kitu kinaitwa defence of justification then kesi ikitupwa ajiandae kulipa gharama. Na nyie wajinga wa muuwaji na mtekaji muwe mnamsindikiza huyo mpuuzi mwenzenu anapoenda mahakamani.
 
Acha kuropoka ovyo ovyo
 
Back
Top Bottom