Paul Makonda hapigi kazi yoyote. Anafanya usanii tu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Huyu jamaa juzi kapita hapa hometown kwangu, BRD.

Ana bahati nilikuwa nimeenda shambani mida aliyoingia na punda wake la sivyo ningemfurusha.


Pulling up in donkey drawn carriages, dump trucks, bodabodas, and whatnots, is not work. It’s perfomative.

CCM is tired and out of ideas and that’s why they’ve resorted to stunts.

And who better to do that than the stuntman himself?

For no self-respecting sane person would do what this Bashite dude is doing.

Going around everywhere and making fake calls to officials doesn’t equal to getting things done.

Those are just publicity stunts aimed at fooling the foolish among us!

Nazidi kuidharau CCM.

Wana bahati sana wanaongoza umma ulio na wapumbavu wengi.
 
Kazi ya makonda ni kueneza sera za chama chake, sasa ni kivipi jamii aikusanye ili kupenyeza jenda zake, ni pamoja na hivi vitu vya kijinga mbele zenu wasomi mnaotaka kila mmoja awe msomi kama nyinyi!

Nyie komaeni na nyenzo zilizochokwa!

Na kwa tarifa yako, Makonda hata afanye vizuri namna gani, kwako ni kama tope, hii ni kulingana ulivyojiweka weka!

Makonda hayupo hapo ili akupendeze wewe!
 
Braza nisamehe.
Wewe bado mtu wa kawaida sana na ninasikitika ulitakiwa kuwa mwalimu na sio mshabiki.

CCM ni chama kikubwa sana.
Ccm ndio inaendesha nchi, haihitaji hizi drama, haihitaji umaarufu...for what?

Maigizo kwa chama kinachoongiza serikali ni uhaini kwa Watanzania.

Maigizo ya Makonda yanakidogosha ccm na sio kukijenga.

Hadi lini mtatufanyia hila hizi wakuu?
Mtawadanganya wajinga wa nchi hii hadi lini kaka?

Tubadilike jamani hii inauma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…