butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
Makonda kawashitua viongozi Wanafiki, walidhani atakuja na vibwagizo vyao vya kitapeli eti,"Mama anaupiga mwingi" na "nani kama Mama'.Mnyonge mnyongeni, haki yake Mpeni! Kiukweli Konda Boy anapiga kazi! Ni mtu wa kaz kaz, kitu muhimu ni asizidishe mbwembwe na kuvuka mipaka!, Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!
P
Kumbe kwa Ground mambo ni upigaji tu!