Paul Makonda hapigi kazi yoyote. Anafanya usanii tu

VIongozi wanajua akili za watanzania wengi zinatakiwa kuwekwa busy na mambo ya kipuuzi puuzi, na mtaalamu wa masuala ya kipuuzi puuzi si mwingine bali ni Daud Albert Bashite
 
Uwezo wako wa kufikiri Paskal umeshuka, mtu anafanya ujinga wewe unasema anapiga kazi...chama chenye umri km wa ccm leo kinasurvive kwa ujinga wa aina hii? wamekuwa na dola miaka yote hiyo wanawezaje kufanya ujinga ujinga wa hivi??? wewe hata hiyo kazi waachie uliowandaa...unajishushia heshima yako bure hasa mbele ya wanao..
 
Ndio maana magufuli alimfukuza huyu ni mjanja sana . Anakula chake hapo basi
 
I doubt Makonda even knows about this.

But now that you’ve mentioned it, you’ve given him ideas [because I have a feeling he does swing by to check out these JF streets to see what people are saying about him].

Safari ijayo akianza kuongelea waziwazi ufanano wake na Yesu, tunaweza kuwa na pa kuanzia 😀.
 
wewe ni mgonjwa na hujui kama unaumwa...hivi ccm cha kwanza ni kueneza sera au kutenda wanayohitaji watanzania..sera?????
 
wewe ni mgonjwa na hujui kama unaumwa...hivi ccm cha kwanza ni kueneza sera au kutenda wanayohitaji watanzania..sera?????
Ulichoandika hapa ni ujinga, labda andika ulichobaki nacho mkichwa chako
 
He is one of those Jesus freaks politicians who are exploiting religiosity in politics. I will not be surprised if he orchestrated this.

His entourage is legendary, there is a video of him going into Mara. Presidential shit.

So what happenned to that? Are the roads that bad in Unyantuzu these days?
 
Wanajua Watanzania ni Wajinga na ndio Maana Lowassa walimpinga sana na kuhakikisha achukui nchi baada ya kusema kipaumbele chake ni Elimu! Mwisho wa CCM Tanzania ni siku ambayo 60% ya watanzania watakapoondokana na ujinga! zingatia Elimu sio cheti maana cheti unaweza kukinunua tu Kama Daudi Bashite !!!
 
Mkuu, umenena vyema sana. Huyu kijana na chama chake wanasikitisha sana, wamechoka sana na ni utoto wa kiwango cha juu.
 
Bila kuweka misingi imara ndani ya katiba ya namna nchi hii inavyopaswa kuongozwa kupitia mihimili mitatu inayojitegemea na chaguzi huru na za haki, tutaendelea kubaki kwenye hizi comedy hadi mwisho na maendeleo kwa watanzania walio wengi itabaki kuwa ndoto.​
 
Anapiga kazi ndugu, sema anapiga kazi kwa watu wa aina Gani?

Bahati nzuri inajulikana Watanzania ni watu wa aina Gani.

Ndio maana watu kama makonda hutumika kufikisha ujumbe kwa watu wa aina ya watanzania.
 
Hawa hata ukiwaambia laleni chini wanalala
Yaani ukienda ziwani ukasema Samaki oyeee wanashangilia
Hakuna majitu ya hovyo kama haya
 
Yaani kwa anachokifanya Makonda wa Tz wote wanaomsapoti wanaonekana mazuzu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…