Paul Makonda hapigi kazi yoyote. Anafanya usanii tu

Makonda anafanya maigizo, ndiyo maana anafanya usanii mwingi sehemu ambazo bado zina kundi kubwa la watu wajinga.
Sasa hilo kundi kubwa la watu wajinga ndo hupanga foleni na kupiga kura. Wapinzani siku mkiacha kuwaona baadhi ya wapiga kura ni wajinga ndo siku mtakayoshinda uchaguzi. Mnafanya kosa kubwa sana kuwatukana wapiga kura. Huo umati unaomshangilia Makonda ndo kura za CCM hizo.
 
Bado hamjasema Hadi mseme Leo Yuko na guta.

Mwisho wewe ndio mpumbavu na mkeo aliyekukubali.

View: https://www.instagram.com/reel/CzoNK4OtshB/?igshid=d3AxdGY3c2ZkMnI2
 
Nawe mzee unazeeka vibaya. Nini cha maana alichofanya makonda kwa siku hizi mbili? Kumbe ndio maana huteuliwi bwana njaa.
Vingi sana mojawapo ni kusikiliza kero na kuwaleta wahusika na kero kutatuliwa.

Leo Waziri wa Madini Yuko Geita kutatua mgogoro ambao Wananchi waliutaja Kwa Makonda.

Au wewe kwako kazi ni zipi?
 
His entourage is legendary, there is a video of him going into Mara. Presidential shit.

So what happenned to that? Are the roads that bad in Unyantuzu these days?
The roadways in Simiyu are in good shape as you can see below. We even have sidewalks 😀, pedestrian crossing lights, etc.




Makonda is given to the dramatics. He tries to outdo himself a lot.

That’s probably why he didn’t pull the same stunt in BRD.

And it’s not like he was in some remote part of the city either. He was smack dab in the middle of it.

He was near this NBC branch, which is just across from a CRDB branch and a TRA office.

So no, it wasn’t because of the roads.

 
Vingi sana mojawapo ni kusikiliza kero na kuwaleta wahusika na kero kutatuliwa.

Leo Waziri wa Madini Yuko Geita kutatua mgogoro ambao Wananchi waliutaja Kwa Makonda.

Au wewe kwako kazi ni zipi?
Wewe nawe ni wa kuhurumiwa sababu hujui usemayo..waambie wampangie safari nchi nzima apite vijiji vyote kutatua kero kwa kuwa yeye tu ndio mwenye huo uwezo.
 
Wewe nawe ni wa kuhurumiwa sababu hujui usemayo..waambie wampangie safari nchi nzima apite vijiji vyote kutatua kero kwa kuwa yeye tu ndio mwenye huo uwezo.
Atafika kote ambako atapangiwa na atatatua hizo kero.

Kero haziwezi kuisha maana maisha ni mchakato wa Kuzalisha kero so alikutana nazo na wahusika walipolegea atatatua.
 
Hata jina lako linadhihirisha sura ya akili yako 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Ana ushamba mwingi sana
 
Mkuu hakuna haja ya kujaribu kuupaka rangi mvuke wa jalala. Anachofanya huyo mtu ni aibu tupu. Big embarrassment. Hakuna improvement yoyote inayoweza kufanyika kuboresha huo ujinga unaoendelea. Watanzania wengi ni waungwana. Wanavumilia tu.

Sijui ni kina nani hao wanaowaaminisha watawala wa CCM kuwa idadi kubwa ya Watanzania wana zero IQ kiasi kwamba you can gain popularity through simply insulting their intelligence - using a dunderhead clown!
 
Dah,

Halafu watu ooh, Gambosh kwa wachawi, hakuna maendeleo.

Kumbe bado kidogo mpate bike lanes kama Cherry Hill, NJ.
 
Venting your resentment over social media rather than getting on the field is even a more cowardice act than boarding on a donkey Drawn carriege...
A social media with anonymous ids is becoming a cover for majority of mouthpieces...
Very theatrical people...!!
 
Au siyo? 🤣🤣🤣

View: https://www.instagram.com/reel/CzoTcsEKvvk/?igshid=OTFpbnBnNmJ0NWE4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…