Paul Makonda hapigi kazi yoyote. Anafanya usanii tu

Kazi ya makonda ni Porojo tu hawezi hata kujenga kisima cha maji
 
Makonda kawashitua viongozi Wanafiki, walidhani atakuja na vibwagizo vyao vya kitapeli eti,"Mama anaupiga mwingi" na "nani kama Mama'.
Kumbe kwa Ground mambo ni upigaji tu!
Mpaka sasa makonda amefanya kitu gani tangible
 
Kwa wale CCM wachache wenye akili waliobaki, this has got to be so embarrassing.
Nitashangaa sana mtu kama Mzee Kinana akibaki katika uongozi wa CCM kwa miezi 3 ijayo!
Nafikiria kama Mzee Warioba, Msuya, Salim n.k. wanaweza kuvaa kijani tena wakatoka hadharani
 
hao madingii wamemstukia
 
Sukari imepanda ,Bado kipanda uso ,Makonda anawavuruga
 
Ana bahati nilikuwa nimeenda shambani mida aliyoingia na punda wake la sivyo ningemfurusha.
Na wewe pia kutuambia ungekuwepo ungemfurusha Makonda ni usanii kama wa Makonda mwenyewe.

Makonda hebu chukua nchi urudishe disiplini na umwondoe Mwarabu for heavens sake.

Kanda ya Ziwa yenyewe ukiizoa yote hiyo unapata kama 40% of the vote, unatafuta the other 10% huko Tanganyika kwingine. Watu wote wanaufyata kutamka Magufuli hadharani, keep using that shyt! Utaweka rekodi ya dunia, halafu kule no-entry unaingia na Vienna Convention service visa... watakoma kuringa!
 
Bashite is only that...Bashite, I mean jitu flan lijinga, liuaji
 
Huyu ni the comedy wa CCM, kwanza anafuja pesa za umma - katibu mwenezi wa chama cha siasa kuwa na msafara wa magari zaidi ya 60 ni matumizi mabaya ya raslimali za nchi.

Watu wapo hoi bin taabani kimaisha afu wewe unakwenda na V8 zaidi ya 40 ili IWEJE ?
 
Nakuunga mkono. Siasa ndiyo inavyotakiwa. Kwa sasa anaongelewa yeye pekee. Hata wapinanzani wamesahaulika.
Na huku kwenye Bara letu inaaminika kwamba siasa ni uongo uongo unaofanana na ukweli ! 😅🙏
 
Drama anazofanya Makonda zimegawanyika kwenye makundi mawili ya uelewa wa watu kwenye nchi hii

Kundi la kwanza ni wale watu wenye uelewa na weledi wa mambo (Wasomi) hawa wapo ndani ya CCM na nje ya chama hicho wanaona ni usani mtupu anaofanya Makonda na kwamba anazidi kukichafua na kukivuruga chama

Kundi la pili ni wananchi wa kawaida hasa wale wenye elimu duni na dhoofu khari kimaisha wakiwamo bodaboda, wamachinga na wakulima hawa wanamuona Makonda kama mkombozi wao mpya aliyerejea toka jalalani na kuja kuwaonyesha njia ya kwenda Kanani nchi ya ahadi ya asali na maziwa

Na watu hawa kwenye nchi yetu ndio wako wengi kwa hiyo hapo CCM ni faida kwao ujio wa Makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…