thetallest JF-Expert Member Joined Oct 21, 2017 Posts 8,271 Reaction score 9,113 Nov 17, 2023 #21 Nimesoma Post ya mleta uzi na namna ya wachangiaji ,nimegundua ni mtu mmoja mwenye users nyingi hapa jamii forum,ameanzisha uzi huu halafu akasaini off kisha kuingia na user zingine kuupandisha Kifupi wewe ni fala sana,niulize nimejuaje
Nimesoma Post ya mleta uzi na namna ya wachangiaji ,nimegundua ni mtu mmoja mwenye users nyingi hapa jamii forum,ameanzisha uzi huu halafu akasaini off kisha kuingia na user zingine kuupandisha Kifupi wewe ni fala sana,niulize nimejuaje