Binafsi ninaamini Bashite hawezi kutoboa Kigamboni. Liwe jua, iwe mvua, sioni akipenya kwenye kura za maoni za CCM.
Kwa watu msiofahamu tu, viongozi wengi wa CCM Dar na wanaCCM walikuwa wanamchukia Makonda kuliko hata mpinzani. Ukuu wa mkoa ulimfanya Makonda awaone watu wengine wote ni wapuuzi, wajinga na wapumbavu.
Muda ndio huu.
Makada waamue sasa.
Apambane na hal iliyokoAna hali mbaya amebaki instagram kuweka posts za kutia huruma na kufuta
ππHawezi kukatwa labda itokee miujiza
Kakatwa kiini macho,ataibuka tena huyo,kwa nguvu ya 5G .ππ