Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Ye mwenyewe ana uhakika gani wa kupita
Atapita tu mark ma words mkuu. Jamaa linaji2ma sana, na amesaidia wengi bila kujali dini, kabila na utaifa wa mtu. Kiufupi jamaa co mbaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ye mwenyewe ana uhakika gani wa kupita
Muogope MunguAtapita tu mark ma words mkuu. Jamaa linaji2ma sana, na amesaidia wengi bila kujali dini, kabila na utaifa wa mtu. Kiufupi jamaa co mbaguzi.
Nani ateseke kwa ajili ya bashite. Hata akipewa viti maalum Ni sawa, Ila ilejulikana Ni mpuuzi tu ambaye anajimwambafai
Kazi gani Kama sio upayukaji tu. Elimu sio issue Ila yule hana tu akili sema tu Kuna kaupendeleo kapata. Bila kaupendeleo hata huo u-RC angeshapigwa chini kitambo.Wa2 wanamchukia na kumsema kwamba hajaenda shule mara oh amefoj cetifiketi 😁😁 kusoma co mafanikio mukuu,,wangapi 2meshuudia wamesoma lkn menejment yao zero kabisa, na wabinafc na maringo juu. Makonda hicho kitu hana, jamaa chapa kazi na limewadhibiti watumia madawa ya kulevya.
Muogope Mungu
Hayo ndo unayaweza kureason unaonyesha IQ yako ilivyo low
Mwambie mama yako amkimbie baba yako maana kaolewa na kilaza Kama mimi
Mungu ni mwema sana sanaaaKapigwa chini
Haha haha. Alipolazwa chali maoni Kigamboni alihamia Wasafi media kuhubiri na kukemea mapepo.Ana hali mbaya amebaki instagram kuweka posts za kutia huruma na kufuta
Kwa hakika. Najua leo kuna watu watakesha wakilewa huko Dalisalama.Tulisema
JESUS IS LORD[emoji120]
Ndugulile Ni kijana super,mtulivu na bright sanaNaona mlima mrefu Makonda kuukwea kupitishwa Kigamboni..
Kauli za Rais zimemlenga moja kwa moja, leo tena kauli za katibu mkuu CCM zimemlenga moja kwa moja na ukuu wa mkoa utakuwa ushaota mbawa.
Bila shaka kauli zake za madharau akiwatukana watu kwamba ingawa labda nimesoma na nyie, mna vyeo kuliko mimi na wengine mmenizidi umri ila nimewazidi sana hata boss wenu anatambua, hao hao watu ndio anategemea wampitishe, wengi CCM hawampendi.
Wote walioachia nafasi zao walizoteuliwa wanataka kuonyesha kwamba uwezo wa kushinda wanao, na wakuu wao wanaonyesha wazi kuwa prove wrong.
Muda upo tusubiri.
Matokeo rasmi
----------------------------
Paul Makonda kura 122
Faustine Dungulile kura 190