Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Binafsi ninaamini Bashite hawezi kutoboa Kigamboni. Liwe jua, iwe mvua, sioni akipenya kwenye kura za maoni za CCM.
Kwa watu msiofahamu tu, viongozi wengi wa CCM Dar na wanaCCM walikuwa wanamchukia Makonda kuliko hata mpinzani. Ukuu wa mkoa ulimfanya Makonda awaone watu wengine wote ni wapuuzi, wajinga na wapumbavu.
Muda ndio huu.
Makada waamue sasa.
Labda kama Magufuli sio mwenyekiti wa Chamaa...!!Binafsi ninaamini Bashite hawezi kutoboa Kigamboni. Liwe jua, iwe mvua, sioni akipenya kwenye kura za maoni za CCM.
Kwa watu msiofahamu tu, viongozi wengi wa CCM Dar na wanaCCM walikuwa wanamchukia Makonda kuliko hata mpinzani. Ukuu wa mkoa ulimfanya Makonda awaone watu wengine wote ni wapuuzi, wajinga na wapumbavu.
Muda ndio huu.
Makada waamue sasa.
R.I.P Ben Saanane,Pole kwa maumivu ya risasi Tundu Lissu,pole kwa kipigo Roma mkatoriki.Yeah jamaa anakula bata
I don't know aiseeDo you think dungulile aliyekuwa naibu waziri hajachukua?
Bashite ana HELA!!Kuna mjumbe asimpigie Bashite kura kweli ?Bashite ana pesa bwana,na hajakurupuka. Akishinda kura wakamkata basi atamfuata Membe ACT.
Sio wote waccm wanamchukia, baadhi yao tu tena Wanadaresalama kisa msukuma/mchapakazi na anasaidia wagonjwa, walemavu n.kNaona mlima mrefu Makonda kuukwea kupitishwa Kigamboni..
Kauli za Rais zimemlenga moja kwa moja,leo tena kauli za katibu mkuu CCM zimemlenga moja kwa moja na ukuu wa mkoa utakuwa ushaota mbawa...
Hapo Magu huwa hakosei na kasema kabisa sijamtuma mtu si ningekuteua tu hamwelewi,polempole akasema hawa wanaojitambulisha huko mitandaoni tutawafundisha taratibu kwamba mmefanya kampeni mapema.
Licha ya yote mkumbuke Tuntemeke Sanga alipigwa viboko na mwalimu,akarudishwa kwao Songea na kuambiwa asikanyage mjini mpaka kwa ruksa ya mwalimu