Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
- Sisi tunakuombea
- Tutakusapoti
- Tutakulinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
- Sisi tunakuombea
- Tutakusapoti
- Tutakulinda
Machawa bana
- Sisi tunakuombea
- Tutakusapoti
- Tutakulinda
naunga mkono hoja
- Sisi tunakuombea
- Tutakusapoti
- Tutakulinda
Mbona jimbo la Tulia haliko wazi pamoja na kuchaguliwa kua Rais wa Mabunge yote Duniani!!? Kwa nini iwe kwa Dr Ndugulile!?Uchaguzi ni hadi oktoba 2025 kwa sasa jimbo litakuwa wazi tu
NAWEZA lkn siyo hapo jimboni - ni huku kakonko
Makonda alikuwa vizuri kwenye Uenezi na ndipo panapomfaa !
- Sisi tunakuombea
- Tutakusapoti
- Tutakulinda
Atakuwa moto mkali - hiyo ni asili yake Mkuu. Na 2025 ataongezewa nguvu toka majimboniMakonda alikuwa vizuri kwenye Uenezi na ndipo panapomfaa !
Maana alikuwa akiwakoromea wabadhirifu na wengine huko Serikalini na ndicho kitu walichokuwa wakitaka kukisikia Wananchi !
Sasa akienda kuwa Mbunge atafanya nini zaidi ya kugonga Meza kupitisha muswada na kuiunga mkono Serikali. ??!
Unadhani anaweza akawa kama Mpina ???!
Sidhani !
Labda !Atakuwa moto mkali - hiyo ni asili yake Mkuu. Na 2025 ataongezewa nguvu toka majimboni
Kwa title ile ni lazima awe speaker wa bunge na kwa yeye ni speaker wa bunge na ni mbunge, ukitofautisha na ya Ndugu Faustine ambayo haina uhusiano na ubunge,so hapa hauna hoja madhubuti!Mbona jimbo la Tulia haliko wazi pamoja na kuchaguliwa kua Rais wa Mabunge yote Duniani!!? Kwa nini iwe kwa Dr Ndugulile!?
Kwani Mbunge hawezi kua na kazi nyingine zaidi ya kazi za Ubunge!!??Kwa title ile ni lazima awe speaker wa bunge na kwa yeye ni speaker wa bunge na ni mbunge, ukitofautisha na ya Ndugu Faustine ambayo haina uhusiano na ubunge,so hapa hauna hoja madhubuti!
Kila laheri kwake
- Sisi tunakuombea
- Tutakusapoti
- Tutakulinda
* Kishimba mbunge na biasharaKwani Mbunge hawezi kua na kazi nyingine zaidi ya kazi za Ubunge!!??
Urgument nzuri sana, unaweza tu kukemea uhozo ukiwa nje ya mfumo mkubwa, ni ngumu kukemea mfumo ukiwa ndani ya systmenya mfumo ambayo hata ukiona uhozo hutakiwi kukemea kwani wee ni mmoja ya watu wa mfumo huo. Otherwise utakuwa umetangaza vita na mfumo , na kwa sababu ni mfumo itabidi uhondolewe kwenye mfumo, kwani wewe si utakuwa si chochote kwenye mfumo.Makonda alikuwa vizuri kwenye Uenezi na ndipo panapomfaa !
Maana alikuwa akiwakoromea wabadhirifu na wengine huko Serikalini na ndicho kitu walichokuwa wakitaka kukisikia Wananchi !
Sasa akienda kuwa Mbunge atafanya nini zaidi ya kugonga Meza kupitisha muswada na kuiunga mkono Serikali. ??!
Unadhani anaweza akawa kama Mpina ???!
Sidhani !