Paul Makonda - hisia zetu ni kutaka sasa urithi mikoba ya Ndungulile (Ubunge)

Paul Makonda - hisia zetu ni kutaka sasa urithi mikoba ya Ndungulile (Ubunge)

Urgument nzuri sana, unaweza tu kukemea uhozo ukiwa nje ya mfumo mkubwa, ni ngumu kukemea mfumo ukiwa ndani ya systmenya mfumo ambayo hata ukiona uhozo hutakiwi kukemea kwani wee ni mmoja ya watu wa mfumo huo. Otherwise utakuwa umetangaza vita na mfumo , na kwa sababu ni mfumo itabidi uhondolewe kwenye mfumo, kwani wewe si utakuwa si chochote kwenye mfumo.
Na hivyo ndivyo ilivyo Mkuu !
 
Back
Top Bottom