Paul Makonda, Kigamboni na Kazi yake ya Ukuu wa Mkoa, Nini kitafuata au ndio amekuwa raia wa kawaida


Hawa wafuatao watateuliwa baada ya kukataliwa na wenye chama.ila Baba mtakatifu atawanyakua.special sit
Silinde tena huyu ni waziri
Makonda
Aliyewahi kuwa katibu cdm
K
 
Ndugulile ndio nani??
 
Paul Makonda, Kigamboni na Kazi yake ya Ukuu wa Mkoa, Nini kitafuata au ndio amekuwa raia wa kawaida
Wala hamna taabu, Bashite atarudi kwenye shughuli zake za awali zinazolingana na sifa pamoja na elimu yake. Hivyo vyeo alivyobebeshwa vinamzidi kimo na ndio maana akatumbukia katika kuwateka, kuwatesa na kuwapoteza wananchi wazalendo wenye sifa na elimu kuliko yeye.


Kazi kama hii inaendana kabisa na sifa na uwezo wake kielimu na ataendelea kupata ajira yake kama hapo zamani kabla hajabebwa!​
 
Zipo Nafasi tatu zilizoandaliwa kwa ajili ya Daudi Bashite kwanza ukuu wa mkoa Dodoma kuwa Balozi Somalia au kuteuliwa ubunge viti maalum kisha kupewa uwaziri tena wizara nyeti
 
Magufuli anazo kazi nyingi za kumpa Daudi Bashite apate kupona visasi vya wananchi aliopata kuwaonea katika nyakati mbalimbali
 
Kwani ndo Makonda kaishia hapo hana litakaposogezwa jina lake? Kwani Halmashauri kuu na Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa vitakutana kuchagua watu gani? Na Yale majina matatu yanayopelekwa huko kutoka kila jimbo atakosaje kuwemo wakati yeye ameshika nafasi ya pili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…