Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?

Mimi ni Mwashambwa Lucas mzalendo wa kweli wa Taifa langu.
Hizo ni njaa zako sio uzalendo. Ungekuwa umeshiba kama watoto wa kina Kikwete usingeshinda mtandaoni kusifia watu ambao hata hata ukipata tatizo hawawezi kuacha kufanya mambo yao wakupe pole au wakusaidie. Inaonekana umekata tamaa na kufanikiwa kwa njia halali unadhani kusofia sifia kutakufanya wakuone.

Mtoto wa kiume unasifia sifia wazazi wa watu utadhani huna hauna wako. Hivi uliona watoto wa marais wakishinda mitandaoni kusifia wazazi wao kama sio kihere here chako tu. Mtoto wa kiume unatakiwa ufocus na mambo yako sio kuabudu binadamu wenzako kwa sababu ya umaskini wako.

Wewe kama ni mkulima kweli kwanini usiwe unazungumzia kilimo kwa sababu ndio kazi inayokupa riziki na uweze kubadilishana uzoefu na fursa na wengine. Acha upumbavu wewe.
 
Unaumia ukiwa wapi huko? Kwani hili ni jukwaa la kilimo hadi niwe nazungumzia kilimo hapa muda wote? Jukwaa hili wamesema wanataka semina ya kilimo?
 
Nafasi hiyo haiathiri kwa namna yoyote ile kazi za ubunge wa Ndungulile. Hivi kumbe Lucas Mwashambwa na wewe ni mweupe kichwani kiasi hiki??

Mbona Tulia kachaguliwa kuwa bosi wa mabunge yote duniani lkn bado ni spika wa bunge la Tanzania??
 
Nafasi hiyo haiathiri kwa namna yoyote ile kazi za ubunge wa Ndungulile. Hivi kumbe Lucas Mwashambwa na wewe ni mweupe kichwani kiasi hiki??

Mbona Tulia kachaguliwa kuwa bosi wa mabunge yote Afrika lkn bado ni spika wa bunge la Tanzania??
Wewe ndio zero kabisa kichwani. Hivi hufahamu kuwa ukipoteza ubunge unakuwa umepoteza na Urais wa IPU? Hivi hufahamu kuwa moja ya vigezo vya kugombea na kuchaguliwa Urais wa IPU ni lazima uwe mbunge katika kipindi chote cha Urais wako?

Sasa huoni Kuwa hapo kuna utofauti mkubwa sana na suala hilo la Mheshimiwa dkt Ndugulile?

Ndio maana huwa nasema wewe akili yako ni ndogo sana na una uelewa mdogo sana kichwani mwako.
 
YES, Ushindi wa Faustine Ndugulilekama Director wa WHO - Africa Division, analazimika kuachia ngazi nafasi ya Ubunge wa Kigamboni.
Kulingana na kanuni na polcies za UN na mashirika yake yote bna hata zikiwemo taasisi nyingine za Kimataifa kama vile World Bank IMF etc Unapochaguliwa au kuteliuwa inabidi ujiuzulu kwenye taasisi zote za kisiasa (any political affiliations) nchi ulikotoko kwa ajili kuzuia migongano ya kimaslahi.

Hivyo kwa kifupi iko hivi- jimbo ya Kigamboni kwa sasa liko wazi.
 
niko kigamboni kimbiji nasikia kelele za honi za bodaboda, na kuna genge linaimba makondamakonda, kaazi kwelikweli
 
Shida ya makond hana elimu. Kinachomeaidi ni mabavu tu
 
Shida ya makond hana elimu. Kinachomeaidi ni mabavu tu
Naona umelewa wewe. Elimu ipi unayoizungumzia wewe? Hata hivyo unafahamu sifa za kuwa mbunge? Unafahamu Mheshimiwa Mwamba Mwenyewe Paul Makonda ameiwahi kiwa kiongozi hata akiwa ngazi ya chuo? Unafahamu ya kuwa Mwamba Mwenyewe Paul Makonda alikuwepo Bunge la katiba?
 
Aliiba cheti cha form four. Jina lake halisi ni Daudi Bashite
 
Wewe ni kulamba kalio la yule unahamia kwa huyo ilimradi tu mkono uende kinywani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…