Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?

Mmh jamaa anashangaza kweli, si kwa kumsifia mtu namna ile kama yeye ndiye Mungu wake.
Hahahahaha...ujue hizo huwa ni id za mkakati , baadae anaicha...km uko humu toka zamani, kulikua na mtu humu anaitwa @lizabon ,huyu lucas anasubiri
 
Hahahahaha, huyo kama hafaidiki na Ccm basi namshauri aachane na kitu
 
kama ni mwanaume agombee jimbo asisubiri kiti maalum kama akina.....
 
Uwe unasoma katiba wewe shetani, kwa muda uliobaki hakuna uchaguzi utafanyika sababu ni mwaka mmoja kabla ya bunge kuvunjwa
 
Kanuni za uchaguzi zinasemaje ? Kwani hawezi kuwa MD huko WHO na pia kuwa mbunge ?
 
Yaan watanzania tunabunbujikwa na machozi ya furaha mama anatosha mitano Tena kwa mama
Msalimie nduguyo
Frank hebel mwashambwa
 
Mimi sina njaa ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa mawazo.
 
Kwa kweli na mimi wazo la aina hii limeniijia.Wampatie Wizara ya TAMISEMI au awe Waziri Mkuu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…