Paul Makonda kufikishwa Mahakamani Februari 3, 2022 katika kesi ya matumizi mabaya ya madaraka

Paul Makonda kufikishwa Mahakamani Februari 3, 2022 katika kesi ya matumizi mabaya ya madaraka

Ukiangalia kwa jicho la kawaida unaweza fikiri kama Kubenea jasiri ila kwa wanao juwa this is deep state....

Na nia yao wala sio hii tunaiyona ila kumbukeni Sababu za USA kumuekea vikwazo bishite.... Tunasafari ndefu sana as nation....
Mkuu uliona mbali sana.
 
Back
Top Bottom