Mtu Alie Nyikani JF-Expert Member Joined Nov 9, 2022 Posts 949 Reaction score 2,038 Mar 4, 2025 #221 Kinyungu said: Unaumia sana ukiwa wapi ukisikia Makonda anashitakiwa? Click to expand... Ameshitakiwa? Jiandae ndiyo waziri wako Mkuu ajaye
Kinyungu said: Unaumia sana ukiwa wapi ukisikia Makonda anashitakiwa? Click to expand... Ameshitakiwa? Jiandae ndiyo waziri wako Mkuu ajaye
Mtu Alie Nyikani JF-Expert Member Joined Nov 9, 2022 Posts 949 Reaction score 2,038 Mar 4, 2025 #222 Mtoto wa Shule said: Siumii kwa lolote bali nawashangaa ninyi kwa kumsakama mtu ambaye hana madhara. Kiukweli, mnamkubali Makonda alikuwa JEMBE NA HAMTAMUWEZA! Click to expand... Na ni JEMBE HASWA.
Mtoto wa Shule said: Siumii kwa lolote bali nawashangaa ninyi kwa kumsakama mtu ambaye hana madhara. Kiukweli, mnamkubali Makonda alikuwa JEMBE NA HAMTAMUWEZA! Click to expand... Na ni JEMBE HASWA.
Mtu Alie Nyikani JF-Expert Member Joined Nov 9, 2022 Posts 949 Reaction score 2,038 Mar 4, 2025 #223 Behaviourist said: Damu zote za Bwana Chato ananuka Bashite.Impunity never last longer.Huyu Bwana ajiandae kisaikolojia kwa sababu huu ni mwanzo mzuri. Click to expand... 🤣
Behaviourist said: Damu zote za Bwana Chato ananuka Bashite.Impunity never last longer.Huyu Bwana ajiandae kisaikolojia kwa sababu huu ni mwanzo mzuri. Click to expand... 🤣
Mtu Alie Nyikani JF-Expert Member Joined Nov 9, 2022 Posts 949 Reaction score 2,038 Mar 4, 2025 #224 TumainiEl said: Ukiangalia kwa jicho la kawaida unaweza fikiri kama Kubenea jasiri ila kwa wanao juwa this is deep state.... Na nia yao wala sio hii tunaiyona ila kumbukeni Sababu za USA kumuekea vikwazo bishite.... Tunasafari ndefu sana as nation.... Click to expand... Mkuu uliona mbali sana.
TumainiEl said: Ukiangalia kwa jicho la kawaida unaweza fikiri kama Kubenea jasiri ila kwa wanao juwa this is deep state.... Na nia yao wala sio hii tunaiyona ila kumbukeni Sababu za USA kumuekea vikwazo bishite.... Tunasafari ndefu sana as nation.... Click to expand... Mkuu uliona mbali sana.
Mtu Alie Nyikani JF-Expert Member Joined Nov 9, 2022 Posts 949 Reaction score 2,038 Mar 4, 2025 #225 Kazitunayo said: Maigizo tu Click to expand... Kiongozi uliona mbali sana