Paul Makonda kufikishwa Mahakamani Februari 3, 2022 katika kesi ya matumizi mabaya ya madaraka

Nani atakuwa complainant kwenye hii kesi maana victim ni clouds , na clouds wamejiweka mbali na kesi.

Nadhani DPP ndio mwenye uwezo kamili wa kufungwa kesi.
 
Wasiwasi wa nini ndugu? Kama bwana yako hana hatia yoyote acha Mahakama IKAMSAFISHE huko.
 
Acha ujinga huo. Kwahiyo hao ndio wana ushahidi wa yeye kuvamia Clouds? Mbona Clouds wenyewe wamejitoa kuwa hawahusiki na lolote kuhusu kuvamiwa? Ikitokea wakaitwa wakasema hawajawahi kuvamiwa, hao matajiri watalazimisha? Eti matajiri watasema walilazimishwa kutoa hela, je wanaweza kuonesha jinai hapo? Hapo ushahidi ni JPM. Yupo kuthibitisha au kukanusha? Pumbavu!!!
 
Wasiwasi wa nini ndugu? Kama bwana yako hana hatia yoyote acha Mahakama huko.
🖕🖕🖕

Kama wewe una mabwana basi usidhanie kila mtu humu ni wewe.

Viazi kama nyie ni ngumu sana kuelewa madhara ya kutoheshimu taratibu.
 
Siumii kwa lolote bali nawashangaa ninyi kwa kumsakama mtu ambaye hana madhara. Kiukweli, mnamkubali Makonda alikuwa JEMBE NA HAMTAMUWEZA!
Hadi sasa hv ccm na serikali yake wameshamuweza. Mi nina shida gani ya kumuweza tena?...we mtu kajificha kolomije huko unasema simuwezi? Yule ndezi tu ndiyo maana kakimbia mjini kaenda kuishi porini
 
Hadi sasa hv ccm na serikali yake wameshamuweza. Mi nina shida gani ya kumuweza tena?...we mtu kajificha kolomije huko unasema simuwezi? Yule ndezi tu ndiyo maana kakimbia mjini kaenda kuishi porini
Hayo ni mawazo ya mtu mjinga kama wewe. Makonda anaishi Tanzania. Anatembelea sehemu yoyote nchi hii. Hata mamaako anaweza kumtembelea kwasababu ni mtu huru. Nini wajinga mlio mtandaoni ndio mnaaminisha eti kajificha. Anamwogopa nani?
 
Wewe mamaako anajificha wapi?
 
🖕🖕🖕

Kama wewe una mabwana basi usidhanie kila mtu humu ni wewe.

Viazi kama nyie ni ngumu sana kuelewa madhara ya kutoheshimu taratibu.
Sasa kinakuuma kitu gani akifikishwa mbele ya Mahakama ili kama hana hatia kweli ijulikane? Puumbavu sana.
 
Wewe mamaako anajificha wapi?
Ahahahahahahahah! Mamaangu hajifichi kama Makonda ambavyo hajifichi. Shika hili, mwambie babaako awe makini maana Makonda ni mtu huru na anaweza kumtembelea mtu yeyote akiwemo mamaako! Ahahahahahahah
 
Pia tunaomba ajibu haya

1. Nani alimuua Ben, Azory, Mawazo Lwajabe.

2. Nani alimteka, Roma, Nondo, Mo,

3. Waliookotwa kwenye viroba ufukweni walikuwa akina nani

Kumbukeni huyu ndiye aliyekuwa anatoa taarifa kuwa Fulani atapatikana siku Fulani.

Mkuu mpaka Leo hujajua nani kammaliza Bwana Ben. Yupo. Motive ndo huua. Ukitafuta Motive Umempata.

Kuhusu azory na Wale wengine viongozi wa kule Kibiti wamekimbilia msumbiji. Ongeza na orodha Hapo. Azory na mkuu wa Polisi. Wenyeviti wa vijijini nk.
 
Itumike busara ili isijeonekana kama kulipizana visasi.
La msingi ni kupima kwanza mazuri aliyofanya na mabaya yake ili upatikane uzani.
Na kama uzani utabalance ni mara mia kupotezea kwa kutoa tahadhali/notification kwa mamlaka za uteuzi kufanya review/kuangalia upya vigezo vya uteuzi/vetting ili baadae yasijirudie makosa mengine ya utendaji kwa wateuliwa.
 
Sasa kinakuuma kitu gani akifikishwa mbele ya Mahakama ili kama hana hatia kweli ijulikane? Puumbavu sana.
Ungeacha kupapatika kama kuku asie na kichwa ungeona niliandika kama serikali ikiamua kufungua criminal case sawa.

Kama Clouds media ikiamua kumfungulia civil case pia sawa.

Kubenea hana sifa ya kufungua criminal case kwa sababu ni serikali tu ndio inayoweza fungua hizo case.

Na kubenea awezi fungua civil case ya Clouds kwa sababu claimant/plaintiff kwanza kabisa kabla mahakama aijasikiliza case lazima athibitishe uhusiano wake na tukio. Pamoja na madhara ya action kwake yeye.

Sio kila mpuuzi anaweza kwenda kufungua civil dispute ya mambo yasiyo muhusu.

Huu upuuzi inabidi uangaliwe kuna watu wanasubiri miaka case zao azijasikilizwa alikadhalika mahakama ina entertain wapuuzi kama Kubenea na Mbatia.
 
Pia tunaomba ajibu haya

1. Nani alimuua Ben, Azory, Mawazo Lwajabe.

2. Nani alimteka, Roma, Nondo, Mo,

3. Waliookotwa kwenye viroba ufukweni walikuwa akina nani

Kumbukeni huyu ndiye aliyekuwa anatoa taarifa kuwa Fulani atapatikana siku Fulani.
Ataje ushiriki wake kwenye jaribio la mauaji ya Tundu Lissu. Huyu mshenzi alichukua chumba St. Gaspar hotel Dodoma kuratibu zoezi la mauaji ya Lissu.
 
Una shida kichwani.
 
Wewe me.nde unashida gani? Hicho kitendo alichokifanya huyo bw.ana wako cha UVAMIZI ni sawa sawa? Acha Mahakama ikaamue, kama hana hatia atarudi tu nyumbani kwenu. Sawa sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…