Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Kwamba leo hii Amos Makalla atoe taarifa kwamba vijana watano waliopotea katika mazingira ya kutatanisha watapatikana siku fulani na sio jeshi la polisi?Unajua mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama mkoani kwake?
Unapoongea baadhi ya vitu uwe na soni maana humu kuna watu na nyadhifa zao wanakusoma unaweza kuonekana kilaza hata kama hufahamiki uhalisia wako humu.