Paul Makonda kufikishwa Mahakamani Februari 3, 2022 katika kesi ya matumizi mabaya ya madaraka

Unajua mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama mkoani kwake?
Kwamba leo hii Amos Makalla atoe taarifa kwamba vijana watano waliopotea katika mazingira ya kutatanisha watapatikana siku fulani na sio jeshi la polisi?

Unapoongea baadhi ya vitu uwe na soni maana humu kuna watu na nyadhifa zao wanakusoma unaweza kuonekana kilaza hata kama hufahamiki uhalisia wako humu.
 
Hata kama mahakama ikimwona hana hatia lakini kutakuwa na funzo kwa watu wanaopewa madaraka na vyeo.

Kwamba sheria ipo juu ya kila mtu bila kujali cheo chake. Na ile tu kufikiria kuwa mtu atashitakiwa kwa makosa aliyoyafanya akiwa madarakani itapunguza au itaondoa watu kutumia madaraka vibaya.
 
Bashite is a someone else, rungu huwa halimwalii mtumiaaji hata kichwa cha mtu inapiga tu, makonda ni rungu na mtumiaji ni ninin,,,,,,,,,,,,,,, ukijua hilo utajua rungu linakosa gani
 
Tukae kimya kwani Jamii Forums iliwekwa ili tukae kimya? Pumbavu!!!
Kwa nini unatukana wenzio kha? Pumbavu shoga aaahh Juu ya nini? Bashiteeee tu ndio matusi meeengi... Polepole ndugu tutafika wote wengine wanatangulia wengine wanachelewa...
 
Ni kweli huenda wote tuliona hiyo video lakini kwanini uumie wewe zaidi?

Kwanini uwashinde maumivu clouds ambao wao wametamka wazi hawana nia ya kufungua kesi?
Uzuri wa jinai haihitaji mhusika tu ndo afungue kesi bali jinai inafunguliwa na Jamhuri kwa niaba ya mlalamikaji ama mlalamikaji anaweza kuwa mtu yeyote katika jamii kama alivyofanya Kubenea.

Ndiyo maana kisheria jinai haifi milele hadi mtenda jinai labda afe kabla ya kushtakiwa. Mahakama ina uwezo wa kuilazimisha clouds kupeleka ushahidi mahakamani kwa maslahi ya taifa maana kama ni madhara kutokea basi ni dhidi ya Jamhuri na sio individual.
 
Kwa nini unatukana wenzio kha? Pumbavu shoga aaahh Juu ya nini? Bashiteeee tu ndio matusi meeengi... Polepole ndugu tutafika wote wengine wanatangulia wengine wanachelewa...
Mimi situkani mtu, bali natukana hoja dhaifu. Na hilo sitabadilika.
 
Ambae anajua fulani atapatikana lini hadi saa?

Jeshi la polisi lina taratibu zake na lina msemaji wake kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi kitaifa. Na ndilo linalohisika na uchunguzi na kutoa taarifa sio mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama.
Hapa unajaribu kuwapangia police cha kufanya!
Kwamba leo hii Amos Makalla atoe taarifa kwamba vijana watano waliopotea katika mazingira ya kutatanisha watapatikana siku fulani na sio jeshi la polisi?

Unapoongea baadhi ya vitu uwe na soni maana humu kuna watu na nyadhifa zao wanakusoma unaweza kuonekana kilaza hata kama hufahamiki uhalisia wako humu.
Wakiniona kilaza sitochubuka!

Kuna ugumu gani mwenyekiti wa balaza la usalama mkoa kutoa updates za tukio?

Kuna sheria ina mkataza?
 
Uzuri wa jinai haihitaji mhusika tu ndo afungue kesi bali jinai inafunguliwa na Jamhuri kwa niaba ya mlalamikaji ama mlalamikaji anaweza kuwa mtu yeyote katika jamii kama alivyofanya Kubenea.

Ndiyo maana kisheria jinai haifi milele hadi mtenda jinai labda afe kabla ya kushtakiwa. Mahakama ina uwezo wa kuilazimisha clouds kupeleka ushahidi mahakamani kwa maslahi ya taifa maana kama ni madhara kutokea basi ni dhidi ya Jamhuri na sio individual.
Hii kesi imefunguliwa na jamhuri?
 
Hata kama mahakama ikimwona hana hatia lakini kutakuwa na funzo kwa watu wanaopewa madaraka na vyeo. Kwamba sheria ipo juu ya kila mtu bila kujali cheo chake. Na ile tu kufikiria kuwa mtu atashitakiwa kwa makosa aliyoyafanya akiwa madarakani itapunguza au itaondoa watu kutumia madaraka vibaya.
Kwamba hili limeanza kwa makonda?

Hujawahi kusikia aliyekua kiongozi mwingine serikalini anashitakiwa?
 
Imekua kama fasheni sasa kwa wanasiasa walio nje ya ulingo kuitumia mahakama kama daraja la kuwarejesha kwenye umaarufu wao.

Kesi ya Mbatia na hii ya Kubenea zote zinafanana kwa maana kwamba hazina tija yeyote.

Mahakama ilinde heshima yake kwa kufutilia mbali kesi za aina hii zenye harufu ya kisiasa na zinazotumika kuwapa umaarufu wanasiasa.
 
Hivi hizi mahakama zina muda wa kuchezea wakati wana backlog ya mahabusu kibao wanaosubiri kufikishwa mahakamani kupata haki zao.

Tangia lini raia anaweza fungua kesi ya jinai; ni serikali ndio inaweza fungua kesi ya jinai.

Hii nchi sasa inaenda kuwa ya kipuuzi inaendeshwa ovyo kuliko banana republic.

Makonda pamoja na mapungufu yake ni serikali inaweza mfungulia mashtaka ya jinai. Clouds na wahanga wengine wanaweza fungua civil case.

Lakini mtu kama Kubenea sio serikali wala hana relation ya case za Clouds kuweza kumfungulia case yoyote Makonda.

Hizi siasa za uchawa na majungu zinaaribu taratibu za mambo yanavyotakiwa kufanyika.

Wenye mamlaka na haki ya kumfungulia Makonda case sawa; lakini pale serikali, mahakama na bunge inapo entertain mambo ya kipuuzi kama haya inakera kweli.

Kubenea anafungua kesi kwa misingi ipi.
 
Hata wewe ukitapeliwa anahaki ya kufungua kesi
 
Kwakweli mahakama inaanza kuonekana sehemu ya kipuuzi.

Imagine Mbatia anaenda kupinga mchakato wa kichama kupata speaker. Wakati ni swala katiba yao huko CCM.

Hizi mahakama zinaanza kuwa sehemu za ovyo.
 
Hivi hizi mahakama zina muda wa kuchezea wakati wana backlog ya mahabusu kibao wanaosubiri kufikishwa mahakamani kupata haki zao.

Tangia lini raia anaweza fungua kesi ya jinai; ni serikali ndio inaweza fungua kesi ya jinai.

Hii nchi sasa inaenda kuwa ya kipuuzi inaendeshwa ovyo kuliko banana republic.

Makonda pamoja na mapungufu yake ni serikali inaweza mfungulia mashtaka ya jinai. Clouds na wahanga wengine wanaweza fungua civil case.

Lakini mtu kama Kubenea sio serikali wala hana relation ya case za Clouds kuweza kumfungulia case yoyote Makonda.

Hizi siasa za uchawa na majungu zinaaribu taratibu za mambo yanavyotakiwa kufanyika.

Wenye mamlaka na haki ya kumfungulia Makonda case sawa; lakini pale serikali, mahakama na bunge inapo entertain mambo ya kipuuzi kama haya inakera kweli.

Kubenea anafungua kesi kwa misingi ipi.
Wewe unadhani hii kesi ni ya kubenea[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hata wewe ukitapeliwa anahaki ya kufungua kesi
Civil case only kudai hasara ya utapeli sio criminal offence ya kutaka jamaa aende jela ilo inabidi niende polisi walichukue.

Kesi ya jinai inafunguliwa na jamuhuri pekee.

Na civil case inataka relationship kitu ambacho Kubenea hana na Clouds.

Tusiache watu waharibu namna mambo yanavyotakiwa kuwa kisa visasi. Makonda kama ana makosa ashitakiwe na watu sahihi sio huu upuuzi.
 
Pia tunaomba ajibu haya

1. Nani alimuua Ben, Azory, Mawazo Lwajabe.

2. Nani alimteka, Roma, Nondo, Mo,

3. Waliookotwa kwenye viroba ufukweni walikuwa akina nani

Kumbukeni huyu ndiye aliyekuwa anatoa taarifa kuwa Fulani atapatikana siku Fulani.
Wewe ndo ulihusika na hayo yote so usisumbue watu
 
Siumii kwa lolote bali nawashangaa ninyi kwa kumsakama mtu ambaye hana madhara. Kiukweli, mnamkubali Makonda alikuwa JEMBE NA HAMTAMUWEZA!
Laiti ungejipa muda wa kutafakari kidogo hatua hii ya mahakama kuruhusu kesi hii ungejiuliza ni kina nani wapo nyuma ya kubenea huenda uka-mute TU!
Nyuma ya kubenea wapo matajiri wengi wakubwa waliokuwa wanalazimishwa kutoa fedha zao Kwa kisingizio Cha kutumwa na magu, wapo wale waliotuhumiwa Kwa kuhusika na madawa ya kulevya, wapo wanasiasa wakubwa waliochongewa na makonda Kwa magu na waliotekwa pia.
Nukuu ya sabaya kuwa anatumia makonda style usijisahau kuwa itaingizwa Kama kibwagizo!
Makonda anakwenda kupotea!
 
Back
Top Bottom