Paul Makonda kufikishwa Mahakamani Februari 3, 2022 katika kesi ya matumizi mabaya ya madaraka

no comment.naogopa kuwa miongoni mwa wapumbavu.naacha muda uamue
 
sina tabu na huyu jamaa ,zaidi kutuzuia tusiooga kuja Dar wakati nae hAjaoga wakamzuia asiende US.
Alafu kumkata mitama Mzee Warioba,huyu ni wa kuadabishwa vizuri tu mshenzi kabisa.
 
Nadhani clouds walishatoa ushirikiano kupitia tume iliyoundwa na Nape. Na kumbuka Nape karudi pale pale kwenye nafasi yake.
 
Asante Sana , Mungu akubariki.
 
mahakama inaweza kusajili kesi kama mlalamikaji hasa sifa?
 
Kwa hiyo ukiwa RC kwa tanzania unaweza ukawa unabaka kabisa na kuua alafu hakuna mamlaka inaweza kukufanya kitu???[emoji3][emoji3][emoji3][emoji846]
Hayo umeongea wewe, Waziri sio mamlaka ya nidhamu kwa RC.Rudi shule mkuu.Kuna watu wa kumshughulikia RC na sio Waziri.
 
Hayo umeongea wewe, Waziri sio mamlaka ya nidhamu kwa RC.Rudi shule mkuu.Kuna watu wa kumshughulikia RC na sio Waziri.
Kama sio waziri ni Rais au Jobo ndugai bhasi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28]
 
Kwahiyo aliyemwajibisha Sabaya ni Waziri?Huoni Rais alimuondoa kazini ndipo wengine wakaanza kumshughulikia?Hata RC awe na makosa gani,Waziri hawez kuwa mamlaka yake ya nidhamu.
 
mtarukaruka sana lakini makonda hatoshtakiwa wala hatoenda mahakamani kwenye hiyo tarehe mloiweka hapo yani mnajitekenya alafu mnacheka wenyewe [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama sio waziri ni Rais au Jobo ndugai bhasi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28]
RC awajibiki kwa Waziri.Alichokifanya Nape ni insubordination na ilikua halali kutumbuliwa. Jamani tuwe tunasoma mambo yanaenda vipi.Yaani usikie leo RC kaunda tume ya kumchunguza DC hahahahhah au Waziri anaunda tume ya kumchunguza Naibu waziri. Kila nafasi ina namna yake ya uajibishwaji.
 
acheni kujidanganya ,wa kumpandisha makonda mahakamani ni Jamhuri tu na kama mama angetaka apewe mashtaka leo asingekua uraiani.[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani clouds walishatoa ushirikiano kupitia tume iliyoundwa na Nape. Na kumbuka Nape karudi pale pale kwenye nafasi yake.
Ile tume ilikua batili. Waziri hana mamlaka ya kuunda tume kumchunguza RC na ndio maana alifukuzwa kazi.Kila nafasi ina mamlaka yake ya nidhamu.Mfano leo RC aunde tume ya kumchunguza DC,hiki kitu hakipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…