mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
no comment.naogopa kuwa miongoni mwa wapumbavu.naacha muda uamue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwani umejaa funzaMfano akisema hayo yote uliyoandika hajui mhusika!
Una ushahidi wa kumlink na hizo hatia?
Asante Sana , Mungu akubariki.View attachment 2093416
Here are the facts about the universe I am sure you don’t know about.
..................................
Jua kumbe alipo still na lenyewe linazunguka galaxy kwa speed ya kilometre 210 kwa sekunde. Galactic year for the sun ni sawa na miaka 230 ya dunia.
Kwa maana hiyo sasa dunia, sayari zote na kila celestial body ndani ya solar system vinalikimbiza jua kwa speed yake 210km/second.
Hapo hizo celestial bodies linaizunguka jua; dunia kwa mfano inatumia siku 365 na kwenye kufanya ivyo inaenda 67000 miles per hour, hapo hapo tena dunia inazunguka katika mhimili wake 1000m/h (wewe unaishi kwenye surface ya dunia wala uoni kitu).
Halafu kuna masela huko NASA kwa kutumia law of physics and applied mathematics modelling wanatengeneza chombo kinaitwa ‘Parker Solar Probe’ jamaa kwa hesabu zao wanakwambia hiko chombo wakitaka kifike karibu na jua haraka wakipeleke kwanza Jupiter na kutumia magnetic fields zake kitakipeleka mapema zaidi kuliko kwenda moja kwa moja through Venus and all that requires timing,
Kifaa kinaruka kinakwenda mpaka Jupiter na kweli kinapelekwa mpaka wanapotaka siku zile zile zilizopangwa. Kinanasa kwenye gravity ya jua kama walivyopanga, wanakifungua wakati wapo million miles apart, kina record; all that just to learn about the outer core of the sun solar flares (not sure ata unajua impact zake kwa dunia ili wachukue tahadhari).
............. ............
What’s the point of all that, there are so many things to amuse the mind with kuliko uthenge mnaojaza kwenye vichwa vyenu yaani binafsi inanisikitisha how is it possible kuna binadamu wapo so shallow minded.
I don’t understand yaani mtu unapata wapi muda wa kuangaika na binadamu mwingine, seriously. Ama kweli akili ni nywele na kila mtu na zake.
mahakama inaweza kusajili kesi kama mlalamikaji hasa sifa?Ungeacha kupapatika kama kuku asie na kichwa ungeona niliandika kama serikali ikiamua kufungua criminal case sawa.
Kama Clouds media ikiamua kumfungulia civil case pia sawa.
Kubenea hana sifa ya kufungua criminal case kwa sababu ni serikali tu ndio inayoweza fungua hizo case.
Na kubenea awezi fungua civil case ya Clouds kwa sababu claimant/plaintiff kwanza kabisa kabla mahakama aijasikiliza case lazima athibitishe uhusiano wake na tukio. Pamoja na madhara ya action kwake yeye.
Sio kila mpuuzi anaweza kwenda kufungua civil dispute ya mambo yasiyo muhusu.
Huu upuuzi inabidi uangaliwe kuna watu wanasubiri miaka case zao azijasikilizwa alikadhalika mahakama ina entertain wapuuzi kama Kubenea na Mbatia.
😂😂😂😂😂😂😂 jamani mimi nafungwa uwiiii
HUU NI USHAHIDI TOSHA KUMWEHA HATIANIKumbukeni huyu ndiye aliyekuwa anatoa taarifa kuwa Fulani atapatikana siku Fulani.
Alikuwa Mungu mtu!
Mi nimeoa mwanaume lakini..Na mkeo! Ahahahahahaha!!
Kama baba yako tu.Kichwani umejaa funza
Hayo umeongea wewe, Waziri sio mamlaka ya nidhamu kwa RC.Rudi shule mkuu.Kuna watu wa kumshughulikia RC na sio Waziri.Kwa hiyo ukiwa RC kwa tanzania unaweza ukawa unabaka kabisa na kuua alafu hakuna mamlaka inaweza kukufanya kitu???[emoji3][emoji3][emoji3][emoji846]
Kama sio waziri ni Rais au Jobo ndugai bhasi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28]Hayo umeongea wewe, Waziri sio mamlaka ya nidhamu kwa RC.Rudi shule mkuu.Kuna watu wa kumshughulikia RC na sio Waziri.
Kwahiyo aliyemwajibisha Sabaya ni Waziri?Huoni Rais alimuondoa kazini ndipo wengine wakaanza kumshughulikia?Hata RC awe na makosa gani,Waziri hawez kuwa mamlaka yake ya nidhamu.Mfungwa sabaya naye si alisema hivyo hivyo kwamba anawajibika kwa mamlaka yake ya uteuzi ila akalamba miaka 30.
Sasa kwa taarifa nape karudishwa wizarani ripoti yake ipo huyo matako makonda ni raia tu.
Mwambia ajiande kwa maisha aliyojiandalia kama ya sabaya
RC awajibiki kwa Waziri.Alichokifanya Nape ni insubordination na ilikua halali kutumbuliwa. Jamani tuwe tunasoma mambo yanaenda vipi.Yaani usikie leo RC kaunda tume ya kumchunguza DC hahahahhah au Waziri anaunda tume ya kumchunguza Naibu waziri. Kila nafasi ina namna yake ya uajibishwaji.Kama sio waziri ni Rais au Jobo ndugai bhasi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28]
Ile tume ilikua batili. Waziri hana mamlaka ya kuunda tume kumchunguza RC na ndio maana alifukuzwa kazi.Kila nafasi ina mamlaka yake ya nidhamu.Mfano leo RC aunde tume ya kumchunguza DC,hiki kitu hakipo.Nadhani clouds walishatoa ushirikiano kupitia tume iliyoundwa na Nape. Na kumbuka Nape karudi pale pale kwenye nafasi yake.