Paul Makonda kukabidhi Ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge

Paul Makonda kukabidhi Ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge

Akimaliza kukabidhi ofisi, atafute kazi nyingine ya kufanya Dar haraka sana au arudi kwao Koromije, maana jiji la Dar hatutaki wazururaji wasiokuwa na kazi maalum.
Madaraka ni dhamana ya muda mfupi sana !
 
Bashite anaweza kung’oa zile Apple machines akidai ni zake binafsi. He might have thought atakaa hapo milele
Bora asingegombea tu akabaki na kitengo chake cha mauwaji,kuteka,kutesa and the like. Swali la kizushi: Hivi atapewa ulinzi mpaka kufa kwake au kina Roma,Lissu watamsamehe?
 
Huyo Hela anayo mkuu
Labda cheo tu ndiyo Atakuwa hana

Ova
Chenji alizokuwa anabakiza kwenye operation za kumsaka Mange Marekani,na kuwalipa watesi wa zile maiti zinazoelea kwenye viloba baharini.
 
Ile migari iliyokuwa akiifunga plate number za RC nayo ataikabidhi au ni yake binafsi?na akihama pale masaki wapi ataelekea kwa sasa? Maisha yanaenda kasi sana
Atafute nyumba Buguruni.
 
Ndivyo ilivyo.

Mkuu wa mkoa mstaafu wa DSM Paul Makonda atafanya makabidhiano rasmi na mrithi wake Aboubakar Kunenge katika sherehe fupi itakoyohudhuriwa na watumishi wote.

Tumtakie kila la kheri anayeondoka na anayeingia.

Maendeleo hayana vyama!
Hivi akishakabidhi atabaki na kazi gani? Au atakuwa mzururaji kama aliokuwa anawabatiza jina hilo alipokuwa RC?
 
Ile ofisi ni nzuri bwana, kiti na meza ya boss na meza ya mikutano pembeni. Ukutani Kuna urembo wa vipande vya magogo . Acha apple machines.
Nasikia roughly ilicost kama m400 hivi mpaka ilizua gumzo na kufanyiwa uchunguzi jamaa akaclaim alitumia gharama zake mwenyewe ?
 
Inadaiwa ni LEMUTUZ ndiye aliyemchuuza
😂😂😂

Kama kuna mwana usalama aliingia kichwani kwake kumwambia Mzee amemaua aache uRc akagombee ccm amemuweza sana
 
Ile migari iliyokuwa akiifunga plate number za RC nayo ataikabidhi au ni yake binafsi?na akihama pale masaki wapi ataelekea kwa sasa? Maisha yanaenda kasi sana
Na ule ulinzi na msafara aliokuwa akitembea nao pia atanyang'anywa sijui atatembeaje mjini
 
Baba yake leo alikuwa mkali pasipo kawaida. Mkali kama pilipili. Sijui hasira zile za nini. Kama kawaida yake ya kupenda taasisi mbalimbali wajenge ‘nyumbani’, eti leo anasema si sawa! Au kasoma upepo wa wajumbe kwenye uchaguzi October unaweza kuwa si mzuri? Salama yake aache maoni ya wajumbe kama yalivyo, si apindue meza kiubabe kuweka watu wake.
 
Back
Top Bottom