Lenyewe hilohilo, na ruge muta sijui nani?kwani waliohusika kwenye shambulizi dhidi ya Lissu ni akina nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lenyewe hilohilo, na ruge muta sijui nani?kwani waliohusika kwenye shambulizi dhidi ya Lissu ni akina nani?
Sabaya anamuita kwenye chain, huyu aliyempiga teke Mzee Warioba Leo analia, huyu aliyetamba kwamba yeye ni mkubwa sana watu hawajui!Join the Chain!
Yaani, Bora upoteze hirizi kuliko ufiwe na mgangaWewe piga kazi mimi sipangiwi.
Jiwe amewaachia mzigo mkubwa sana wateule wake waliokuwa na viburi
Hili la ruge Tanga!?Huyu dawa yake yake imechemka muda mrefu, mama Samia, tuma mtu akaiipue, kama alijaribu kumuwinda Lissu, arobaini yake imefika.
Anahofia kesi ya uhujumu uchumi wakati nyumbani kajaza magari ya kudhulumu? Kadhulumu viwanja? Alimpakaza Ruge na ma scjajajakaaaa mkononi siku anapatanishwa mbele ya JPM baada ya hapo Ruge akaanza kuugua?, bilionea asiye na biashara!, Alipata ubilionea baada ya kuwa Mkuu wa Mkoa mwenye mshahara wa milioni tano!. Alikuwa anafika katika maofisi ya mabilionea anachota Hela kwa nguvu!
Lemutuz naye kamkimbia, a lone wolf!