Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

Katiba Mpya katiba Mpya.
 
Hivi vyo vyote vipo kwa maslahi ya ccm na watawsala tu wala sio kwa taifa
 
Makonda acha kulia lia mitandaoni. Kwanza tueleze kwa nini ulipigwa marufuku kuingia marekani kwa sababu ya kunyimwa watu uhuru wa kuishi?
 

KWANZA WAMECHELWA KUMUUA
 
Keshajitokeza kumbe!!! Maana alikuwa anatafutwa apewe summons ya mahakama. Nadhani kapewa. Chezea serikali wewe!!!!
 
List ni ndefu sanaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Sema ndo hivyo mwamba umedondoka vijana hali mbaya
mkuu kwa nini usitafute id nyingine kwa ajili ya kucomment mambo ya siasa..

hiyo ID yako umeshaibrand kule 😂😂😂
yaani kila nikiiona comment yako mahali nacheka sana.
😃😃😃
 
mkuu kwa nini usitafute id nyingine kwa ajili ya kucomment mambo ya siasa..

hiyo ID yako umeshaibrand kule [emoji23][emoji23][emoji23]
yaani kila nikiiona comment yako mahali nacheka sana.
[emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inabdi hii ID ibaki na heshima yakee kwa kweli... Nifungue mpya
 
Wakikuua nao watauwawa. Hii ni natural justice na wala sio politics!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…