Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

Wampasuae tu hakuna jinsi nyingine mikono yake imejaa damu za watu wasiokuwa na hatia
 
Lissu alipotoa taarifa polisi kuna gari linamfuatilia kila aendako akapuuzwa hadi alipomiminiwa risasi 16.

Ben Saanane aliporipoti humu hadi namba iliyompa vitisho watu wakapuuzia hadi member wengine humu wakaelezea jinsi kifo chake kitakavyokua na ghafla Ben hatukuwahi kumsikia tena.

Leo sasa yameangukia upande wa watesi [ muwindaji kageuka kuwa windo].

Mnataka huruma au tuseme ili baadae mseme "tuwe na ubinadamu" hata kama mtu humpendi usimuombee mabaya?

Muda utaeleza yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…