To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Tuanzie hapo kwanzakwani waliohusika kwenye shambulizi dhidi ya Lissu ni akina nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuanzie hapo kwanzakwani waliohusika kwenye shambulizi dhidi ya Lissu ni akina nani?
Roho mbya tuHaijalishishi whether yuko hai anadunda au mahututi au ni kiki, LAKINI ajuwe kuwa tunapenda AFARIKI kifo kibaya
Wampasuae tu hakuna jinsi nyingine mikono yake imejaa damu za watu wasiokuwa na hatiaAliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.
Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk
Ameandika: Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha yangu.
1) WAUZA MADAWA YA KULEVYA
2)WANUFAIKA NA MADAWA YA KULEVYA
3) MASHOGA
4)WANAOKESHA USIKU KUCHA KUTAFUTA KULIPA KISASI KWA WASAIDIZI WA DR MAGUFULI.
5) WALIOWAHI KUWA SEHEMU YA ……. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi.
Mambo mawili najiuliza
1)PAMOJA NA KAZI ZOTE NZURI NILIZOZIFANYA KWA CHAMA CHANGU,SERIKALI YANGU NA WANANCHI WA DAR HAYA NDIYO MALIPO YAKE?
2)Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndiyo malipo yake ?
MTU aliejemga hospital , aliejenga ofc cha CCM, Magari ya police 👮♀️, ofc za Walimu, vituo vya police, shule za secondary mpaka na msingi, kutibu wagonjwa mpaka Meli kuja Tanzania,kuhudumia Makundi mbali mbali mpaka kuiunganisha Serikali na Viongozi wa Dini. leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa.
Pamoja na kwamba lipo kundi kwenye mitandao linalolipwa ili kuwaanda watanzania pale watakapo nikamata ionekane ni sawa. Hakika ipo siku Walemavu, yatima, wajane na waliotamani watoto WAO wasife kwa MADAWA ya KULEVYA SAUTI ZAO ZITASIKIKA.
#Ukiona maji yametulia jua kina nikilefu.”
Kwani yeye aliacha lini?Ati Mashoga wanapanga lumuua😆😆😆😆
Hata pepo wachafu wanahudhuria kanisani na kusoma maandikoZaburi 35 itakuponya Makonda
Naongeza Kutoka 23:25 na Zab 103:3Zaburi 35 itakuponya Makonda
Job true trueThe medicine against fire is fire.
Wakati yeye mwenyewe ni shoga, angalia tako hapa.Ati Mashoga wanapanga kumuua!😆😆😆😆
Akiba ya maneno itatusaidia nini? Sisi tuna akiba ya hela tuTuwe na akiba ya maneno!
Roho nzuri uliyonayo uliitumiaje wakati Makonda anaacha Akwilina Akweline auawe?Roho mbya tu