Tetesi: Paul Makonda kuwa Makamu wa Rais 2020/2025

Status
Not open for further replies.

Mkuu britanicca,

Nikusaidie tu kwamba Mama Samia hawezi kuwa rais wa Zanzibar na hivyo ataendelea kuwa makamu wa Rais kwa mwaka tajwa.

Rais ajae wa Zanzibara ni Dr Hussein Ally Hassan Mwinyi.

Kuhusu Makonda huyu mwaka 2020 anakwenda kugombea ubunge kwao Misungwi na kuja kuteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya ndani iwapo Rais Magufuli atarejea tena Ikulu baada ya uchaguzi ujao.

Inakiri hii comment leo Novemba 2 mwaka 2018 na sitaiedit hadi mwaka 2021.
 

Au waziri mkuu, ili atoe maamuzi mengi magumu yanayogusa kona zote za nchi hii.

Pia kuwa mtekelezaji wa papo kwa papo na kuisimamia serikali kwa uzuri kule Bungeni.

Kuna uwezekano ya ndani ya Bunge kutokea mafataki na humo ndani kukachimbika.
 
Hii kwanza sijaiamini pamoja na kuambiwa na watu zaid ya watatu ambao ni reputable lakin nimeona kwamba nisibeze lisemwalo lipo,
Acha kuweweseka wewe kilaza hujui katiba.
Rais akitoka bara lazima makamu atoke visiwani hivyo ikiwa kinyume chake
 
Wewe mtoto una umri gani?
 
Ahahahahh eti teja la unga kuwa askofu. Ngoja waje utakoma; maana kama umesema ngwasuma vile!
 
Hahahh...kweli tetesi za watesi hizi....hahahah...πŸ‘ΊπŸ‘Ίvice president πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™‰πŸ™‰
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…