Paul Makonda kuwa Waziri wa Mambo ya ndani mwaka 2020 - 2025?

Sawa
FB_IMG_1595268701952.jpeg
 
Unaota mchana kweupe kisa mvua inanyesha
Naanza kwa kuwambumbusha jinsi Mh. Makonda alivyofanikiwa kuhakikisha Dar ni shwari na Salama.

Mh. Makonda kwa wasiomjua ni memba wa TISS na amefanikiwa kuwa karibu na viongozi waandamizi wa vyombo vya ulizi na usalama kwa miaka hii mitano.

Wote tunajua juhudi zake ndizo zilimpa promotion aliyekuwa RPC wa Dar kipindi hicho Afande Sirro hata kuwa IGP.

Mh. Makonda huyu ndiye aliyeanzisha operation kadhaa ambazo vingozi wengi wakubwa walishindwa kama vile madawa ya kulevya na akawatia mbaroni vigogo hadi leo wanajuta.

Wote tunajua Mh. Makonda akiamua jambo hashindwi na hakuna wa kumzuia, yeye ni one man army.

Ni ukweli kuwa wizara ya mambo ya ndani imechezewa sana kwa awamu karibu tatu sasa za uongozi. Mfano mdogo tu ni awamu hii ya JPM tangu Mwigulu, Kangi na hata Simhachawene hakuna utendahi makini ji brabrabraaa tuu.

Mh. Makonda ameandaliwa kwa ajili ya wizara hii, tujiandae na tumtakie kila la kheri.

Huu sio utabiri ni hakika.

Asanteni
 
hizo sigara kubwa mnazovutia makaburini mnakuja jukwaani kutupulizia moshi wake! Bashite ni ngoma iliyovuma sana na tayari imepasuka!!
Mkuu, acha kuihusisha sigara kubwa na vitu vya kijinga!
 
Naanza kwa kuwambumbusha jinsi Mh. Makonda alivyofanikiwa kuhakikisha Dar ni shwari na Salama.

Mh. Makonda kwa wasiomjua ni memba wa TISS na amefanikiwa kuwa karibu na viongozi waandamizi wa vyombo vya ulizi na usalama kwa miaka hii mitano.

Wote tunajua juhudi zake ndizo zilimpa promotion aliyekuwa RPC wa Dar kipindi hicho Afande Sirro hata kuwa IGP.

Mh. Makonda huyu ndiye aliyeanzisha operation kadhaa ambazo vingozi wengi wakubwa walishindwa kama vile madawa ya kulevya na akawatia mbaroni vigogo hadi leo wanajuta.

Wote tunajua Mh. Makonda akiamua jambo hashindwi na hakuna wa kumzuia, yeye ni one man army.

Ni ukweli kuwa wizara ya mambo ya ndani imechezewa sana kwa awamu karibu tatu sasa za uongozi. Mfano mdogo tu ni awamu hii ya JPM tangu Mwigulu, Kangi na hata Simhachawene hakuna utendahi makini ji brabrabraaa tuu.

Mh. Makonda ameandaliwa kwa ajili ya wizara hii, tujiandae na tumtakie kila la kheri.

Huu sio utabiri ni hakika.

Asanteni
Amekosa kura za kuchaguliwa. Hilo halina ubishi. Haya mengine ni mambo ya hapa na pale tu.
 
daaah kwa hyo hapakuwa na police wa kumsindikiza kwa ving'ora

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Masisiemu Sasa ndio yamejua kiasi ambacho magufuli hawaamini.

Yaani kawapa Watoto wake, Na mbuzi za chadema alizonunua mnadani na zile ng'ombe za jalalani udsm pale bila kusahau lakezonelization, watu wa Kanda ya ziwa.

Masisiemu yamepigwa na butwaa
 
Back
Top Bottom