JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti, nasikia wanaangaika na mitandao.
---
Akiwa wilayani Monduli RC Makonda amesema yeye hajali kelele za wanamitandao bali ataendelea Kuchapa Kazi kwa kuwatumikia Wananchi.
Makonda amesema yeye siyo mtu wa kubembeleza.watu bali anasimamia Uwajibikaji.
"Wale wanaopiga kelele waendelee tu kwangu ni sawa na ule Muziki wakati wa kufanyiwa masaji" amesema Makonda huku akishangiliwa na Makamanda hapo Monduli.
PIA SOMA:
- LHRC yamuonya Makonda kwa kumdhalilisha Mtumishi wa Kike mbele ya Umati wa Wananchi
- Umoja wa wanawake CCM wasikitishwa na udhalilishaji wa Makonda, watoa tamko
- Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa walaani matamshi ya Paul Makonda