johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Utakuwa nawe ni miongoni mwa wale wazembe wa Taifa 😄😂🔥Binafsi sjapentaaa😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa nawe ni miongoni mwa wale wazembe wa Taifa 😄😂🔥Binafsi sjapentaaa😂😂
Soma kitabu Cha Hitler na alivyoingia madarakani, kisha fuatilia ni Nini alifanya baada ya kupata madaraka.Jamaa yuko vizuri
Ana taranta ya uongozi
Ndio tunamtaka Kiongozi wa aina yake 😂😂😄Soma kitabu Cha Hitler na alivyoingia madarakani, kisha fuatilia ni Nini alifanya baada ya kupata madaraka.
Kama Wajeda wamemshangilia ndio uje umtoe we Bawacha 😂😂Sasa Rais anamlinganisha na yule mwanamama powerless?
Rais ana nguvu, Rais ana vyombo, Rais ana sababu za kutukanwa na ana means za kupambana na wanaomtukana.
Papa si dagaa, Yeye ameonea dagaa......na kifupi hana adabu Wala maadili kama kiongozi, pale jukwaani mambo ya nina mke mzuri yametokea wapi? Kwa mke gani hasa?
Hatutulii hadi atolewe ukuu wa mkoa aende akaangaliane na Huyo mke wake mzuri mbele huko.
Kapiga kwa mshono huyu mwanamama😂Utakuwa nawe ni miongoni mwa wale wazembe wa Taifa 😄😂🔥
Wewe endelea kupiga majungu.Kwani ajira ya mjinga ni majungu.Sasa Rais anamlinganisha na yule mwanamama powerless?
Rais ana nguvu, Rais ana vyombo, Rais ana sababu za kutukanwa na ana means za kupambana na wanaomtukana.
Papa si dagaa, Yeye ameonea dagaa......na kifupi hana adabu Wala maadili kama kiongozi, pale jukwaani mambo ya nina mke mzuri yametokea wapi? Kwa mke gani hasa?
Hatutulii hadi atolewe ukuu wa mkoa aende akaangaliane na Huyo mke wake mzuri mbele huko.
Mimi so BAWACHA, Mimi UWT.Kama Wajeda wamemshangilia ndio uje umtoe we Bawacha 😂😂
Ni kweli hata alipoongoza kile kikosi cha kumshambulia Lissu mirisasi ya kutosha talanta yake ilijionyesha zaidi.Jamaa yuko vizuri
Ana taranta ya uongozi
Wanyooshe kaka!watumishi wa serikalini wamezoea kubembelezana sana sana!wanapenda umwinyimwinyi!!Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti, nasikia wanaangaika na mitandao.
Kwaio makonda anajilinganisha na jemedari mkuu wa TANZANIA 😊Akiwa wilayani Monduli RC Makonda amesema yeye hajali kelele.za wanamitandao bali ataendelea Kuchapa Kazi kwa kuwatumikia Wananchi
Makonda amesema yeye siyo mtu wa kubembeleza.watu bali anasimamia Uwajibikaji
"Wale wanaopiga kelele waendelee tu kwangu ni sawa na ule Muziki wakati wa kufanyiwa masaji" amesema Makonda huku akishangiliwa na Makamanda hapo Monduli
Source: Clouds media
Mimi natetea haki, ndugu yenu kagusa pasipogusika, huwezi kumdhalilisha mwanamke vile....halafu ni kinyume na falsafa ya aliyemteua, mambo ya kufokeana na kumdhalilisha majukwaani ni mambo ya zama za mawe, tushahama huko.Wewe endelea kupiga majungu.Kwani ajira ya mjinga ni majungu.
Makonda yupo imaraKiburi huzaa majuto,wanaokusifia Leo kesho hutowaona
Aache uwongo wake lini na wapi Rais ametukanwa? Alizusha kuwa kuna mawaziri wanamtukana Rais na akaahidi kuwataja baada ya siku tatu sasa mwezi wa pili huu hajawataja. Mzushi sana huyu mwizi wa vyetiAkiwa wilayani Monduli RC Makonda amesema yeye hajali kelele.za wanamitandao bali ataendelea Kuchapa Kazi kwa kuwatumikia Wananchi
Makonda amesema yeye siyo mtu wa kubembeleza.watu bali anasimamia Uwajibikaji
"Wale wanaopiga kelele waendelee tu kwangu ni sawa na ule Muziki wakati wa kufanyiwa masaji" amesema Makonda huku akishangiliwa na Makamanda hapo Monduli
Source: Clouds media
Na hata alipovamia ofisi za CLOUDS MEDIA talanta yake tuliona😂💔🚮Ni kweli hata alipoongoza kile kikosi cha kumshambulia Lissu mirisasi ya kutosha talanta yake ilijionyesha zaidi.