Pre GE2025 Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za Watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti

Pre GE2025 Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za Watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Akiwa wilayani Monduli RC Makonda amesema yeye hajali kelele.za wanamitandao bali ataendelea Kuchapa Kazi kwa kuwatumikia Wananchi

Makonda amesema yeye siyo mtu wa kubembeleza.watu bali anasimamia Uwajibikaji

"Wale wanaopiga kelele waendelee tu kwangu ni sawa na ule Muziki wakati wa kufanyiwa masaji" amesema Makonda huku akishangiliwa na Makamanda hapo Monduli

Source: Clouds media
Makonda ni sikio la kufa ambalo halisikii dawa.
Aidha, ni debe tupu ambalo haliachi kuvuma.
 
Akiwa wilayani Monduli RC Makonda amesema yeye hajali kelele.za wanamitandao bali ataendelea Kuchapa Kazi kwa kuwatumikia Wananchi

Makonda amesema yeye siyo mtu wa kubembeleza.watu bali anasimamia Uwajibikaji

"Wale wanaopiga kelele waendelee tu kwangu ni sawa na ule Muziki wakati wa kufanyiwa masaji" amesema Makonda huku akishangiliwa na Makamanda hapo Monduli

Source: Clouds media
Anamjibu hivyo Chatanda!!
 
Acha kujitoa akili.. mtandaoni huko mange kimambi alikua anaandika nini? Uliona taasisi yeyote ikitoa tamko?..
Sasa ulitaka UWT wakamkamate Mange Kimambi? Mange Kimambi ana laana zake ni wa kupuuzwa kuanza kuyafuatilia mambo yake ni sawa na kusaidia kuyatangaza after all ni wachache walioyasoma. Matusi ya Mange Kimambi hayahalalishi Makonda kuwadhalilisha watumishi wa umma. Kwani hawawezi kutatua kero bila kuwadhalilisha.
 
Sasa Rais anamlinganisha na yule mwanamama powerless?
Rais ana nguvu, Rais ana vyombo, Rais ana sababu za kutukanwa na ana means za kupambana na wanaomtukana.
Papa si dagaa, Yeye ameonea dagaa......na kifupi hana adabu Wala maadili kama kiongozi, pale jukwaani mambo ya nina mke mzuri yametokea wapi? Kwa mke gani hasa?

Hatutulii hadi atolewe ukuu wa mkoa aende akaangaliane na Huyo mke wake mzuri mbele huko.
Kumbe shida, ni Makonda kuwa mkuu wa mkoa??? Yaan, mnapoteza muda bure!

Huyo ni mtumishi wa, Mungu anakwenda kuwa mtu mkubwa sana hapa Bongo. Sijui ndio wenye wivu mtajinyonga.?
 
Mimi natetea haki, ndugu yenu kagusa pasipogusika, huwezi kumdhalilisha mwanamke vile....halafu ni kinyume na falsafa ya aliyemteua, mambo ya kufokeana na kumdhalilisha majukwaani ni mambo ya zama za mawe, tushahama huko.
Fanya kazi kwa weredi na kuwajibika Ila ukijibebisha bebisha tutatumia lugha Kali na ngumu quoted from mdude chadema..
 
Sasa ulitaka UWT wakamkamate Mange Kimambi? Mange Kimambi ana laana zake ni wa kupuuzwa kuanza kuyafuatilia mambo yake ni sawa na kusaidia kuyatangaza after all ni wachache walioyasoma. Matusi ya Mange Kimambi hayahalalishi Makonda kuwadhalilisha watumishi wa umma. Kwani hawawezi kutatua kero bila kuwadhalilisha.
Nimegundua nawasilisha Hoja kwa mtu mwenye uwezo Mdogo... Ngoja nikupuuze
 
Hakuna muuaji au jambazi mporaji ambaye ni mwoga. Huyu ana sifa zote za kuwa jambazi. Kwenye uongozi ni zero. Na wala haishangazi. Hakuna jambazi anayefaa kuwa kiongozi. Aliyempa uongozi ndiye wa kumshangaa.
Unazijua Sifa za Kiongozi wa duniani Lakini?

Hakunaga Kiongozi asiye Muuwaji na Jambazi duniani Kote tokea enzi za Agano la Kale
 
Back
Top Bottom