Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
tutajua kama hatishiki kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makonda ni sikio la kufa ambalo halisikii dawa.Akiwa wilayani Monduli RC Makonda amesema yeye hajali kelele.za wanamitandao bali ataendelea Kuchapa Kazi kwa kuwatumikia Wananchi
Makonda amesema yeye siyo mtu wa kubembeleza.watu bali anasimamia Uwajibikaji
"Wale wanaopiga kelele waendelee tu kwangu ni sawa na ule Muziki wakati wa kufanyiwa masaji" amesema Makonda huku akishangiliwa na Makamanda hapo Monduli
Source: Clouds media
Anamjibu hivyo Chatanda!!Akiwa wilayani Monduli RC Makonda amesema yeye hajali kelele.za wanamitandao bali ataendelea Kuchapa Kazi kwa kuwatumikia Wananchi
Makonda amesema yeye siyo mtu wa kubembeleza.watu bali anasimamia Uwajibikaji
"Wale wanaopiga kelele waendelee tu kwangu ni sawa na ule Muziki wakati wa kufanyiwa masaji" amesema Makonda huku akishangiliwa na Makamanda hapo Monduli
Source: Clouds media
Sasa ulitaka UWT wakamkamate Mange Kimambi? Mange Kimambi ana laana zake ni wa kupuuzwa kuanza kuyafuatilia mambo yake ni sawa na kusaidia kuyatangaza after all ni wachache walioyasoma. Matusi ya Mange Kimambi hayahalalishi Makonda kuwadhalilisha watumishi wa umma. Kwani hawawezi kutatua kero bila kuwadhalilisha.Acha kujitoa akili.. mtandaoni huko mange kimambi alikua anaandika nini? Uliona taasisi yeyote ikitoa tamko?..
Kumbe shida, ni Makonda kuwa mkuu wa mkoa??? Yaan, mnapoteza muda bure!Sasa Rais anamlinganisha na yule mwanamama powerless?
Rais ana nguvu, Rais ana vyombo, Rais ana sababu za kutukanwa na ana means za kupambana na wanaomtukana.
Papa si dagaa, Yeye ameonea dagaa......na kifupi hana adabu Wala maadili kama kiongozi, pale jukwaani mambo ya nina mke mzuri yametokea wapi? Kwa mke gani hasa?
Hatutulii hadi atolewe ukuu wa mkoa aende akaangaliane na Huyo mke wake mzuri mbele huko.
Huyo ndio mwanaume sasa katika nchi hii
Chatanda anapiga mikelele?Anamjibu hivyo Chatanda!!
Hivyo ndio kiongozi anavyotakiwa kuwa.. Mungu ambariki sana makonda.
Fanya kazi kwa weredi na kuwajibika Ila ukijibebisha bebisha tutatumia lugha Kali na ngumu quoted from mdude chadema..Mimi natetea haki, ndugu yenu kagusa pasipogusika, huwezi kumdhalilisha mwanamke vile....halafu ni kinyume na falsafa ya aliyemteua, mambo ya kufokeana na kumdhalilisha majukwaani ni mambo ya zama za mawe, tushahama huko.
TrueHata wanaompinga Makonda ni ule unafiki tu lakini wanafahamu jamaa yupo sawa. Makonda namuelewa na anafahamu yupo pale kwa ajili ya wananchi na si vinginevyo.
Nimegundua nawasilisha Hoja kwa mtu mwenye uwezo Mdogo... Ngoja nikupuuzeSasa ulitaka UWT wakamkamate Mange Kimambi? Mange Kimambi ana laana zake ni wa kupuuzwa kuanza kuyafuatilia mambo yake ni sawa na kusaidia kuyatangaza after all ni wachache walioyasoma. Matusi ya Mange Kimambi hayahalalishi Makonda kuwadhalilisha watumishi wa umma. Kwani hawawezi kutatua kero bila kuwadhalilisha.
Unazijua Sifa za Kiongozi wa duniani Lakini?Hakuna muuaji au jambazi mporaji ambaye ni mwoga. Huyu ana sifa zote za kuwa jambazi. Kwenye uongozi ni zero. Na wala haishangazi. Hakuna jambazi anayefaa kuwa kiongozi. Aliyempa uongozi ndiye wa kumshangaa.
Mimi nakudharau jumla huna hoja zaidi ya uchawa huo utopolo wako washirikishe vilaza wenzako.Nimegundua nawasilisha Hoja kwa mtu mwenye uwezo Mdogo... Ngoja nikupuuze
Huyu mwamba namkubali ila kuna ujinga flan flan akiuacha atakuwa vizur sana
Ndo dawa yao wazembe!!Ila Christina bn ndo utuchambe vile😆