Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Jinga Sana wewe baada ujiombee mwenyewe unamuombea Makonda?Hivyo ndio kiongozi anavyotakiwa kuwa.. Mungu ambariki sana makonda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jinga Sana wewe baada ujiombee mwenyewe unamuombea Makonda?Hivyo ndio kiongozi anavyotakiwa kuwa.. Mungu ambariki sana makonda.
Daah jamaa ana kiburi sana.....backup ya MAZERI inampa kiburi.Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti, nasikia wanaangaika na mitandao.
Soma kitabu Cha Hitler na alivyoingia madarakani, kisha fuatilia ni Nini alifanya baada ya kupata madaraka.
Una uhakika! Hawajui akinamama huyo BashiteJamaa yuko vizuri
Ana taranta ya uongozi
Nilichogundua ata ukifanya mema Vp bado watu watakutengenezea chuki tuTatalanta yake ilionekana wazi hasa pale alipomdanganya mfanyabiashara eti Magufuli anataka ajengewe mjengo kumbe ilikuwa janja yake ya kujipatia mjengo kwa mgongo wa jina la Rais.
Talanta za huyu Mwehu zipo nyingi kweli kweli usisahau usafiri wa Punda,Mikokoteni,Tractor.........Mbwiga hapoi.
Wakina mama ndio wanamshangilia Bashite mikutanoni 😂Una uhakika! Hawajui akinamama huyo Bashite
Makonda na Samia wake wote siwakubali....wakati mama anatukamwa kuna taasisi yeyote ya watetezi wa haki za binadamu/wanawake walijitokeza kukemea udhalilishwaji ule:? Kwa hili shetani kasema ukweli...Akiwa wilayani Monduli RC Makonda amesema yeye hajali kelele.za wanamitandao bali ataendelea Kuchapa Kazi kwa kuwatumikia Wananchi
Makonda amesema yeye siyo mtu wa kubembeleza.watu bali anasimamia Uwajibikaji
"Wale wanaopiga kelele waendelee tu kwangu ni sawa na ule Muziki wakati wa kufanyiwa masaji" amesema Makonda huku akishangiliwa na Makamanda hapo Monduli
View attachment 3000692
RC Makonda,Akiwa wilayani Monduli RC Makonda amesema yeye hajali kelele.za wanamitandao bali ataendelea Kuchapa Kazi kwa kuwatumikia Wananchi
Makonda amesema yeye siyo mtu wa kubembeleza.watu bali anasimamia Uwajibikaji
"Wale wanaopiga kelele waendelee tu kwangu ni sawa na ule Muziki wakati wa kufanyiwa masaji" amesema Makonda huku akishangiliwa na Makamanda hapo Monduli
View attachment 3000692
VinaaaLHRC wamekuja bila gadi makonda anagawa dozi kwa wastani bila idadi.
Ukiona kobe juu ya mti ujue amepndishwa.
Kalaghabaho, huyo ni kitengo, mbwa weweDaah jamaa ana kiburi sana.....backup ya MAZERI inampa kiburi.
Hivi Rais aliwahi kutukanwa matusi ya nguoni au anamtaja Rais mara kwa mara li kutafuta huruma zake?Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti, nasikia wanaangaika na mitandao.
---
Akiwa wilayani Monduli RC Makonda amesema yeye hajali kelele za wanamitandao bali ataendelea Kuchapa Kazi kwa kuwatumikia Wananchi.
Makonda amesema yeye siyo mtu wa kubembeleza.watu bali anasimamia Uwajibikaji.
"Wale wanaopiga kelele waendelee tu kwangu ni sawa na ule Muziki wakati wa kufanyiwa masaji" amesema Makonda huku akishangiliwa na Makamanda hapo Monduli.
Royal palace massage kigamboni maweni😍Dar massage nzuri napata wapi? Yenye kamziki.
Huu ulioandika hapa ni utoko wa mbwa mwenye kaswende, hao Tiss,na wengine waliinua midomo wakati rais anatukanwa?Unajua watu hawataki kufuatilia au kusoma historia,
Bashite ni Mkuu wa Mkoa tu si Rais anafanya hivi siku akipewa madaraka ya uRais atafanya nini ?.
Mfanyakazi aliyezalilishwa hana madaraka kama Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya.Rais wa JMT ni mtu mwenye madaraka makubwa sana tena kupitiliza kwa mujibu wa Katiba aliyotuachia Mtakatifu Nyerere.
Rais ana vyombo vingi vya kumlinda na kumtetea haitaji Mwenyekiti wa UWT au UVCCM kumsemea.Fikiria CDF,IGP,DGTISS.........wote wako chini yake anawateua bila kuhojiwa au kuhitaji ushauri wa mtu yoyote.
UWT wanapomsemea mtumishi mwanamke maana yake wanajua hana pa kwenda au kukimbilia dhidi ya Mkuu wa Mkoa fedhuli.Utetezi wake eti Rais katukanwa wamenyamaza ni aina ya utetezi ambao umejikita katika kupata kinga uku akijisahaulisha dhambi yake ya kufedhehesha na kudhalilisha watumisha hasa wanawake.
Sikia mkuu, Wewe mwenyewe hupendwi na kila mtu, acha dunia iendeleeKiburi huzaa majuto,wanaokusifia Leo kesho hutowaona
Unajua mheshimiwa,vijana wengi na watu wengi hawajui historia ya dunia kwenye uongozi na kwenye mapinduzi ya kidemokrasia na kimatabaka (political-social-economic changes) kwenye karne mbalimbali za dunia. Ukimtajia hitler ni kitu nilitegemea kila mtu ajue ila uliza watanzania. Sasa mtajia wanaphilosophia wa dunia na wataalam wa social structures and differentiation pamoja na social-economic changes na theories /models zao walizoformulate na jinsi zilivyoleta mahanguko au mafanikio kwenye maisha ya watu wa wakati huo.Nakuhakikishia sisi ni watupu kabisa tunaenda tu kama wanyama na mihemuko.Soma kitabu Cha Hitler na alivyoingia madarakani, kisha fuatilia ni Nini alifanya baada ya kupata madaraka.
Ndege wafananao........Nampenda Makonda bila sababu!
Kwa kweli Makonda ana kibri na maneno machafu sana. Na hiki ndicho ambacho watu wanalalamikia.Sasa Rais anamlinganisha na yule mwanamama powerless?
Rais ana nguvu, Rais ana vyombo, Rais ana sababu za kutukanwa na ana means za kupambana na wanaomtukana.
Papa si dagaa, Yeye ameonea dagaa......na kifupi hana adabu Wala maadili kama kiongozi, pale jukwaani mambo ya nina mke mzuri yametokea wapi? Kwa mke gani hasa?
Hatutulii hadi atolewe ukuu wa mkoa aende akaangaliane na Huyo mke wake mzuri mbele huko.
Nani hao? Kupetipeti ndio nini?Kwani anafanya uongozi ili asifiwe akili za wapi hizi?. So hao wanasifia upuuzi, uzembe na upigaji halafu wanawapetipeti ndio viongozi mnaowapenda 😂😂😂😂.